Mzee wetu wa ukoo(mchaga)...alifukuza vijana kama wa 4 waliokuja na vi mahari vyao vya uchwara...
Binti yake alimsomesha Russia akahitimu udaktari bingwa wa kichwa(ubongo)
Mzee wa ukoo alikua anataka mahari si chini ya mil 12 na zaidi.
Mmoja wapo akajifanya mwamba akampa ujauzito ili iwe nyepesi
...mzee presha na sukari ikapanda
Baada ya kujifungua yule mtoto akaitwa jina la babu yake..kuanzia jina la mwanzo lakati na la mwisho yotee upande wetu...
Mwamba akaenda kufungua kesi...kesi (ikaendaa)..sijui ikwaje mzee akashinda
Sasahizi binti yupo(wanaishi) denmkark na alishaolewa na mwanaume mwengine ambae ni (mshozi) ila dogo yupo(kabaki) kwa babu yake""
("Mzee alikua anasema alitumia pesa nyingi sana kumsomesha uko nje so hataki mahari ya ajabu ajabu"
""DADA kama unajiona una iyo thaman ya mil 10 basi tulia...watakuja tuu wenye uwo uwezo""