Kumbe unajitoaga ufahamu tuu lakini una miakili mingiWavulana naona mnatokwa povu ila hakuna mzazi anayefurahia mwanae kuolewa na mwanaume asiye na kipato. Subirini nanyi muwe baba mtafanya the same.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unajitoaga ufahamu tuu lakini una miakili mingiWavulana naona mnatokwa povu ila hakuna mzazi anayefurahia mwanae kuolewa na mwanaume asiye na kipato. Subirini nanyi muwe baba mtafanya the same.
Sijui kama atakuelewa sababu anaonesha ana kichwa kibovuNyie masikini ndo mnaendekeza kuoana kwa mahari kubwa , mnataka mkiozesha muwe kama mnauza kwa kudhani ndo mtaaga umaskini. Sisi kipato cha kati mahari sio kipaumbele, kipaumbele ni kuunganisha undugu na kuendelea kubebana ili kuleta unafuu kwenye maisha ya familia zetu.
kwa io wew utaozesha kwa 100M?Kaoe kulingana na level zako,unaenda kuoa kwa watu wenye uwezo na wews huna unategemea nini?
Hata mimi sitokubali niletewe maskini na nimeona familia nyingi zinawakataa watu wa hivyo na kuwaponda..
Mwisho wa siku mwanaume anatakiwa kuwa msaada sio mzigo.
Shangaa na wewe jamanikwa io imeandikwa baba akuchagulie mume..Kama huna ushauri tulia
Nionyeshe ni wapi iliandikwa baba anaweza kukutafutia mume..Tumieni vizur maandiko sio kupotosha watu
Hapa tunazungumzia suala la MAHARI, na usitutoe kwenye ajenda husika kwa kuja na hoja na mifano ya kitoto isiyokuwa na kichwa wala miguu.Ni sawa ulivyosema mtoto anatakiwa kutii wazazi wake, lakini sio kila kitu unachoambiwa hata kama kitakuletea athara ni kukukubali tu
Kuna muda wazazi huwa wanatukosea sana, suala la mapenzi halitakiwi kuingiliwa kama watu wamependana waachwe sio wazazi mnaanza kuwawekea obstacles kwa kuwa hamjapendezewa kumuona huyo mtu anaoa au anaolewa katika familia yenu, na kuna wazazi wengine wanafanya vitu vibaya kwa makusudi ili apate sababu ya kukuachia LAANA na RADHI
Mfano kwako mzazi wako akuambie "mwanangu hebu kula hayo mavi hapo" je utatii na kula hayo mavi kwasababu kwenye biblia wameandika utii wazazi wako? Muda mwingine huwa tunatumia maandiko vibaya kwa kukurupuka tu bila kutafakari na kutumia hekima, mwisho wa yote tunatakiwa sawa kutii wazazi wetu lakini sio kwa kila kitu utakachoambiwa wewe ni kufata tu mkumbo ili uwafaidishe watu pasipo kujiangalia na wewe
ufanye ivo kwa binti zakoHapa tunazungumzia suala la MAHARI, na usitutoe kwenye ajenda husika kwa kuja na hoja na mifano ya kitoto isiyokuwa na kichwa wala miguu.
Narudia tena kusema, katika suala la ndoa, baba amepewa mamlaka yote ya kuamua kiwango cha mahari ya binti yake.
Tena baba amepewa uhuru wa kumkubali au kumkataa mchumba wa binti yake. Katika hali kama hii, mtoto anapaswa kuwa MTIIFU kwa wazazi wake. Hapa hakuna mjadala.
Ndo nyie mnaokufa kwa kukosa maarifa!! Endelea kukaza hilo fuvuHapa tunazungumzia suala la MAHARI, na usitutoe kwenye ajenda husika kwa kuja na hoja na mifano ya kitoto isiyokuwa na kichwa wala miguu.
Narudia tena kusema, katika suala la ndoa, baba amepewa mamlaka yote ya kuamua kiwango cha mahari ya binti yake.
Tena baba amepewa uhuru wa kumkubali au kumkataa mchumba wa binti yake. Katika hali kama hii, mtoto anapaswa kuwa MTIIFU kwa wazazi wake. Hapa hakuna mjadala.
😂😂Au wewe ni pisikali sana mzee anakumendea
Nasikitika kusema kuwa baba yako hana ubaba ndani yake.Habari zenu wana JF,
Bila kuwachosha naenda moja kwa moja kwenye point. Nilikuwa na mchumba wangu tumejuana kwa muda wa mwaka mmoja na nusu mpaka sasa. Kwa hiyo mwaka huu huyo kaka nilimwambia aje home kujitambulisha, akasema haina shida.
Niliwataarifu wazazi wangu tarehe ambayo aliniambia anakuja wakasema aje kwetu.
Kama kawaida huyo kaka alikuja na mshenga wake pamoja na mjomba wake. Baba yangu alialika wenzake kama 6 hivi ili kujadiliana mahari. Kwa kweli ilikuwa tafrani, kwasababu baba yangu mzazi alishauriana na wenzake mahali iwe 10.5M kitu ambacho kilinishangaza sana.
Mjomba wake akasema hiyo hela hawana kwani hawanunui kiwanja. Baadae mjomba akasema wao wanaweza toa 2.5M baba akasema iongezeke japo 3M kwa shingo upande, kwamba hataki mahari ndogo akidai watakuja wengine.
Jioni yake akaniita mimi na mama akaanza kunifokea. Akaniambia mimi namdhalilisha kuleta mtu masikini na haeleweki kwa hiyo niachane naye, na nisipoachana naye mimi nitakuwa siyo mtoto wake na nikikubali kuolewa naye nisije kukanyaga kwake mpaka kaburi lake nisije kulisogelea.
Hakuishia hapo akaanza kunilinganisha na kabati ambalo anadai limenizidi, kwamba yeye alilinunua kwa bei kubwa kuliko mahali yangu. Nililia sana maana hata mama yangu alikuwa upande wa baba kwa hiyo sikuwa na support yoyote.
Aibu naipata mimi mtaani, naogopa hata kutoka kwenda sehemu kwa ajili ya wazazi wangu kunisambazia doa kubwa.
Naombeni ushauri katika huu wakati mgumu, kushauriwa kumuacha mtu uliyependana naye mkaendana siyo kitu rahisi. Japo huyo kaka hajaonesha dalili zozote za kuniacha, anawasiliana na mimi kama kawaida.
Ahsanteni sana. Napitia maoni yenu, wote nawakaribisha.
Kwa nini wazazi wakatae heshima kubwa kama hiyo?Habari zenu wana JF,

Hili nalo neno🤣🤣🤣Au wewe ni pisikali sana mzee anakumendea
umeulizwa wewe ulioa na mahari ya shilingi ngapi?Kaoe kulingana na level zako,unaenda kuoa kwa watu wenye uwezo na wews huna unategemea nini?
Hata mimi sitokubali niletewe maskini na nimeona familia nyingi zinawakataa watu wa hivyo na kuwaponda..
Mwisho wa siku mwanaume anatakiwa kuwa msaada sio mzigo.
Huwezi kuwajibu wanajf wote utajipa stesi,ushauri wangu nenda kwa wazee wa kidini au kimila waeleze tatizo lako wao watawashauri wazazi wako.We ulioa kwa mahali gan mkuu..Samahan lkn
Pole sana ila ifike mahali upunguze heshima za kinafiki kwanini?
Baba yako ndiye anayeolewa?
Je ni mama yako anaolewa na huyo mwamba?
Je hao wanakamati watakuja kukutandikia kitanda wakati wa ndoa?
Mpenzi Mwanasulwa lady hapo juu sio matusi ila najaribu kukueleza kuwa ulizaliwa na baba yako na mama yako hapo kwenu ila ukweli ni kuwa hao sio waamuzi wa maisha yako ila wewe mwenyewe.
Hivyo amua ni yupi unahitaji kuolewa naye na enenda ukaolewe dear Mwanasulwa lady achana na huu upuuzi ati ulipiwe mahari mara mahari ndogo utakuja juta .
Hao wanaume wa mahali nyingi katika karne hii wapo wachache na bado ndoa yako mbeleni yaweza kuwa ndoana.
Pole mpenzi Mwanasulwa lady ila nikutume kuwa kaa na hao wazazi wako wape msimamo wako ati unaitaji kuolewa na huyo kijana kwa kiasi kidogo alichonacho wapokee ikiwa hawajakubali waeleze utaenda kuolewa bure.
Isiwe ni mkwara ila ikawe ni kweli nakueleza watakutafuta wenyewe
Ukwrli ni kuwa wazazi wako wana tamaa hawana lolote , sasa wewe sio bidhaa mpendwa , wewe ni mtu na una haki ya kuamua nani akuoe na nani asikuoe.
TEKERI.
Thank you more...Pole sana ila ifike mahali upunguze heshima za kinafiki kwanini?

Vijana mnahangaika sanaumeuliza wewe ulioa na mahari ya shilingi ngapi?
whats up with this all utumbo ulioandika?
Penye miti hapana wajenzi! Mimi binti yangu alitoa mahari sawa na shs 21,000 tu za kitanzania. Kwani nauza mtu? Mzee mwenzangu hapo amepotoka maana mtoto kupata mchumba ni shughuli pevu, ila kupata wa kutafuna wapo wengiHabari zenu wana JF,
Bila kuwachosha naenda moja kwa moja kwenye point. Nilikuwa na mchumba wangu tumejuana kwa muda wa mwaka mmoja na nusu mpaka sasa. Kwa hiyo mwaka huu huyo kaka nilimwambia aje home kujitambulisha, akasema haina shida.
Niliwataarifu wazazi wangu tarehe ambayo aliniambia anakuja wakasema aje kwetu.
Kama kawaida huyo kaka alikuja na mshenga wake pamoja na mjomba wake. Baba yangu alialika wenzake kama 6 hivi ili kujadiliana mahari. Kwa kweli ilikuwa tafrani, kwasababu baba yangu mzazi alishauriana na wenzake mahali iwe 10.5M kitu ambacho kilinishangaza sana.
Mjomba wake akasema hiyo hela hawana kwani hawanunui kiwanja. Baadae mjomba akasema wao wanaweza toa 2.5M baba akasema iongezeke japo 3M kwa shingo upande, kwamba hataki mahari ndogo akidai watakuja wengine.
Jioni yake akaniita mimi na mama akaanza kunifokea. Akaniambia mimi namdhalilisha kuleta mtu masikini na haeleweki kwa hiyo niachane naye, na nisipoachana naye mimi nitakuwa siyo mtoto wake na nikikubali kuolewa naye nisije kukanyaga kwake mpaka kaburi lake nisije kulisogelea.
Hakuishia hapo akaanza kunilinganisha na kabati ambalo anadai limenizidi, kwamba yeye alilinunua kwa bei kubwa kuliko mahali yangu. Nililia sana maana hata mama yangu alikuwa upande wa baba kwa hiyo sikuwa na support yoyote.
Aibu naipata mimi mtaani, naogopa hata kutoka kwenda sehemu kwa ajili ya wazazi wangu kunisambazia doa kubwa.
Naombeni ushauri katika huu wakati mgumu, kushauriwa kumuacha mtu uliyependana naye mkaendana siyo kitu rahisi. Japo huyo kaka hajaonesha dalili zozote za kuniacha, anawasiliana na mimi kama kawaida.
Ahsanteni sana. Napitia maoni yenu, wote nawakaribisha.
Ndio inategemea level zangu,Cha muhimu ni kwamba suwez ozesha Binti yangu kwa maskini, akikomaa tusijuane.kwa io wew utaozesha kwa 100M?