Tafuta Hela
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,546
- 2,983
unauzwa kwa bei ghali hivyo [emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stupid ni wewe unaependa kusikia upumbStupid. Samahani lakini
Hawa ndo wazazi wenye mindset mbovu, kama hupendi binti yako aolewe na mtu asiwe na kipato mtengeneze binti yako kwanza kujitegemea.Wavulana naona mnatokwa povu ila hakuna mzazi anayefurahia mwanae kuolewa na mwanaume asiye na kipato. Subirini nanyi muwe baba mtafanya the same.
Sio kwamba aolewe ndio shida ziishe laa!! Ila jukumu la kutunza familia ni la mwanaume haijalishi binti ana kipato kiasi gani. Kwa hawa wazazi sidhani kama wana shida kihivyo maana kama kabati lake tu ni 3+m sio hawa wenzangu na mie.Hawa ndo wazazi wenye mindset mbovu, kama hupendi binti yako aolewe na mtu asiwe na kipato mtengeneze binti yako kwanza kujitegemea. Wazee wa kisasa wanapambana kuwateneza mabinti zao kujitegemea.
Miaka ya kusubiri binti aolewe ndo shida ziishe ilishapita huu ulimwengu mwingine kabisa.
bibie mfate jamaa mzalie kitoto kimoja tuHabari zenu wana JF,
Bila kuwachosha naenda moja kwa moja kwenye point. Nilikuwa na mchumba wangu tumejuana kwa muda wa mwaka mmoja na nusu mpaka sasa. Kwa hiyo mwaka huu huyo kaka nilimwambia aje home kujitambulisha, akasema haina shida.
Niliwataarifu wazazi wangu tarehe ambayo aliniambia anakuja wakasema aje kwetu.
Kama kawaida huyo kaka alikuja na mshenga wake pamoja na mjomba wake. Baba yangu alialika wenzake kama 6 hivi ili kujadiliana mahari. Kwa kweli ilikuwa tafrani, kwasababu baba yangu mzazi alishauriana na wenzake mahali iwe 10.5M kitu ambacho kilinishangaza sana.
Mjomba wake akasema hiyo hela hawana kwani hawanunui kiwanja. Baadae mjomba akasema wao wanaweza toa 2.5M baba akasema iongezeke japo 3M kwa shingo upande, kwamba hataki mahari ndogo akidai watakuja wengine.
Jioni yake akaniita mimi na mama akaanza kunifokea. Akaniambia mimi namdhalilisha kuleta mtu masikini na haeleweki kwa hiyo niachane naye, na nisipoachana naye mimi nitakuwa siyo mtoto wake na nikikubali kuolewa naye nisije kukanyaga kwake mpaka kaburi lake nisije kulisogelea.
Hakuishia hapo akaanza kunilinganisha na kabati ambalo anadai limenizidi, kwamba yeye alilinunua kwa bei kubwa kuliko mahali yangu. Nililia sana maana hata mama yangu alikuwa upande wa baba kwa hiyo sikuwa na support yoyote.
Aibu naipata mimi mtaani, naogopa hata kutoka kwenda sehemu kwa ajili ya wazazi wangu kunisambazia doa kubwa.
Naombeni ushauri katika huu wakati mgumu, kushauriwa kumuacha mtu uliyependana naye mkaendana siyo kitu rahisi. Japo huyo kaka hajaonesha dalili zozote za kuniacha, anawasiliana na mimi kama kawaida.
Ahsanteni sana. Napitia maoni yenu, wote nawakaribisha.
dah mwisho unaishia nyumbani, inabidi ujue yye alitoa mahari sh ngapi? mm hata laki tano sitoiHabari zenu wana JF,

Binti zangu nitawalea kwa kufuata kanuni, taratibu, sheria, Amri na misingi ya KIKRISTO.ufanye ivo kwa binti zako
Tatizo lako ni kuwachukulia wazazi wako kama "miungu" wako . Kuna mazingira unatakiwa uwaoneshe watu ikiwemo wazazi wako kwamba wewe ni mtu huru kimaamuzi.Habari zenu wana JF,
Bila kuwachosha naenda moja kwa moja kwenye point. Nilikuwa na mchumba wangu tumejuana kwa muda wa mwaka mmoja na nusu mpaka sasa. Kwa hiyo mwaka huu huyo kaka nilimwambia aje home kujitambulisha, akasema haina shida.
Niliwataarifu wazazi wangu tarehe ambayo aliniambia anakuja wakasema aje kwetu.
Kama kawaida huyo kaka alikuja na mshenga wake pamoja na mjomba wake. Baba yangu alialika wenzake kama 6 hivi ili kujadiliana mahari. Kwa kweli ilikuwa tafrani, kwasababu baba yangu mzazi alishauriana na wenzake mahali iwe 10.5M kitu ambacho kilinishangaza sana.
Mjomba wake akasema hiyo hela hawana kwani hawanunui kiwanja. Baadae mjomba akasema wao wanaweza toa 2.5M baba akasema iongezeke japo 3M kwa shingo upande, kwamba hataki mahari ndogo akidai watakuja wengine.
Jioni yake akaniita mimi na mama akaanza kunifokea. Akaniambia mimi namdhalilisha kuleta mtu masikini na haeleweki kwa hiyo niachane naye, na nisipoachana naye mimi nitakuwa siyo mtoto wake na nikikubali kuolewa naye nisije kukanyaga kwake mpaka kaburi lake nisije kulisogelea.
Hakuishia hapo akaanza kunilinganisha na kabati ambalo anadai limenizidi, kwamba yeye alilinunua kwa bei kubwa kuliko mahali yangu. Nililia sana maana hata mama yangu alikuwa upande wa baba kwa hiyo sikuwa na support yoyote.
Aibu naipata mimi mtaani, naogopa hata kutoka kwenda sehemu kwa ajili ya wazazi wangu kunisambazia doa kubwa.
Naombeni ushauri katika huu wakati mgumu, kushauriwa kumuacha mtu uliyependana naye mkaendana siyo kitu rahisi. Japo huyo kaka hajaonesha dalili zozote za kuniacha, anawasiliana na mimi kama kawaida.
Ahsanteni sana. Napitia maoni yenu, wote nawakaribisha.
Siyo kila kitu kimeandikwa kwenye Biblia kama Amri isipokuwa mengine yameandikwa kama "muongozo" wa nini kifanyike.Ndo nyie mnaokufa kwa kukosa maarifa!! Endelea kukaza hilo fuvu
Leta hilo andiko linalosema wazazi kuwachaguliwa watoto wachumba
PoleHabari zenu wana JF,
Bila kuwachosha naenda moja kwa moja kwenye point. Nilikuwa na mchumba wangu tumejuana kwa muda wa mwaka mmoja na nusu mpaka sasa. Kwa hiyo mwaka huu huyo kaka nilimwambia aje home kujitambulisha, akasema haina shida.
Niliwataarifu wazazi wangu tarehe ambayo aliniambia anakuja wakasema aje kwetu.
Kama kawaida huyo kaka alikuja na mshenga wake pamoja na mjomba wake. Baba yangu alialika wenzake kama 6 hivi ili kujadiliana mahari. Kwa kweli ilikuwa tafrani, kwasababu baba yangu mzazi alishauriana na wenzake mahali iwe 10.5M kitu ambacho kilinishangaza sana.
Mjomba wake akasema hiyo hela hawana kwani hawanunui kiwanja. Baadae mjomba akasema wao wanaweza toa 2.5M baba akasema iongezeke japo 3M kwa shingo upande, kwamba hataki mahari ndogo akidai watakuja wengine.
Jioni yake akaniita mimi na mama akaanza kunifokea. Akaniambia mimi namdhalilisha kuleta mtu masikini na haeleweki kwa hiyo niachane naye, na nisipoachana naye mimi nitakuwa siyo mtoto wake na nikikubali kuolewa naye nisije kukanyaga kwake mpaka kaburi lake nisije kulisogelea.
Hakuishia hapo akaanza kunilinganisha na kabati ambalo anadai limenizidi, kwamba yeye alilinunua kwa bei kubwa kuliko mahali yangu. Nililia sana maana hata mama yangu alikuwa upande wa baba kwa hiyo sikuwa na support yoyote.
Aibu naipata mimi mtaani, naogopa hata kutoka kwenda sehemu kwa ajili ya wazazi wangu kunisambazia doa kubwa.
Naombeni ushauri katika huu wakati mgumu, kushauriwa kumuacha mtu uliyependana naye mkaendana siyo kitu rahisi. Japo huyo kaka hajaonesha dalili zozote za kuniacha, anawasiliana na mimi kama kawaida.
Ahsanteni sana. Napitia maoni yenu, wote nawakaribisha.
Alfa female speaking..! [emoji16][emoji16]Tafuta pesa nunua vitu mchukue mchumba wako nendeni kanisani mkafunge ndoa wawili na mashahid watatu jipelekeni honeymoon.
Hyo pesa ya mahali nunueni vitu ndani na chakula muanze maisha na ww tafuta Kazi fanya. Furaha ailetwi na baba yako na mama ako furaha inaletwa na ww jifanye kua furaha na sio laana
Muhaya na myakyusa utamjua tu hata bila utambulisho wa suraKaoe kulingana na level zako,unaenda kuoa kwa watu wenye uwezo na wews huna unategemea nini?
Hata mimi sitokubali niletewe maskini na nimeona familia nyingi zinawakataa watu wa hivyo na kuwaponda..
Mwisho wa siku mwanaume anatakiwa kuwa msaada sio mzigo.