Wazazi wamuua mwalimu kutokana na shule yake kutoa matokeo mabaya

Wazazi wamuua mwalimu kutokana na shule yake kutoa matokeo mabaya

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Washukiwa wawili wamekamatwa baada ya kukashifiwa kwa kumuua mwalimu wa shule ya msingi kaunti ya Kitui

Wawili hao wanazuiliwa huku uchunguzi ukifanywa dhidi yao

Wambua Mwangangi na Chris Kyalo Muli wanasemekana kumuua mwalimu huyo baada ya shule yake kutoa matokeo mabaya katika mtihani wa kitaifa wa KCPE mwaka wa 2019.

Daisy Mbathe aliripotiwa kushambuliwa kwa panga kabla ya mwili wake kuteketezwa na washukiwa hao.

Mbathe ambaye aliuawa Januari 6, 2020 alikuwa mwalimu katika shule ya msingi ya Ndooni.
 
Back
Top Bottom