Ku
Kumbe unataka definitions ya kila neno analoongea mwanadamu wakati unasahau definitions do not matter,kinacho matter ni context
Definitions keep them in your own butt,hapa tunataka context
Na unaelewa exactly what my context is tatizo unafiki umekujaa na uongo,who cares
Kuandika si kuongea?
Au umekariri only audible speaking umesahau kuna internal inaudible speaking?
Nani kakudanganya chooni hua yanaenda mavi tu?
Kuna mkojo,maji,makamasi,matapishi,shahawa za masterbators kama wewe,blood,etc
Mambo chungu nzima....
Broaden your thinking acha hizi short cuts za kipumbavu
Ndio....una tatizo na hilo?
Kama una tatizo too bad for you
You are not qualified kua na tatizo nalo maana huwajui na wala hujawahi kaa under their administration when ukiwa mtoto....
On the other side,mimi nipo qualified kusema hayo maana Im exactly part of that for 18 years....I'm qualified to feel and talk the way I did about them
Mzazi asilaumiwe kwa sababu gani?
Kama alifanya matendo mabaya kwa victims asilaumiwe kivipi yaani?
Sijaona hoja yako kwanini mzazi asilaumiwe iwapo aliumiza watoto?Na mtoto ana haki ya kutoa assessment ya kweli kuhusu wazazi wake walichomfanyia alipokua mdogo,ukimnyamazisha still unaendeleza uonevu
Nikiwa na 0-18 nilikua mali ya wazazi wangu....nao 18 and up ni mali yangu binafsi,sasa mzazi anahusika vipi na mimi kuanzia nilipokua 18 mpaka sasa?Hana uhusika wowote kisheria
Mtoto chini ya miaka 18 kisheria hatakiwi ajitegemee....
Kama wazazi mpo na mkalazimisha mtoto wa miaka 5 ajitegemee,wote mnashikwa na kufunguliwa mashitaka na kufungwa
Haiwezekani mmezaa mtoto kwa ngono zenu binafsi halafu mtupe huyo mtoto
Hii thinking yako inaonesha kabisa wewe ni katili kwa watoto na one day you will do that
Morally ubongo wako unaamini mtoto kuzaliwa na kuishi ni preveledge na sio haki yake,yaani ni msaada unampa huyo mtoto
Hii thinking ni ya kiuaji na wewe unaona ni sahihi
Yaani utombane huko,mumlete mtoto duniani halafu still uone mtoto huyo hana haki ya kutunzwa kama mwanadamu mpaka afikishe 18 years ajitegemee ni thinking next devilism
mtoto wa miaka 0-18 anahitaji kuachiwa mtaji wa biashara tangu lini?
Hivi wewe mzima kichwani kweli?
Mtoto 0-18 kisheria hana hata uwezi wa kuingia contractual obligation popote,umpatie mtaji aende nao wapi wewe maiti?
Mtoto 0-18 anahitaji matunzo na upendo kama mwanadamu,baada ya hapo muache,haitaji chochote kutoka kwako na wala sio lazima umpatie chochote thereafter
Kuhusu mitaji and other blah blah inaelekea hujui lolote kama mwanadamu kwenye hii dunia
Still una matatizo
Mtu anatoa assessment ya hao wazazi tangu alipokua 0-18 sio sasa hivi nipo above 18
Huoni difference ya hivi vipindi?
Watu wana hasira na wazazi wao walichowafanyia walipokua 0-18 sio leo wewe,use your brain
Sasa hivi everything is entirely on them kama adults na sio wazazi
Ni maajabu unapoleta hoja eti kwamba chochote wanachofanya hawa watu kwenye maisha yao ukubwani ni wazazi wamefanya ni partly false