Wazazi wapendeni na kuwajali watoto wenu ni ndugu zenu, marafiki na jamaa zenu wakati ambao wote uliokuwa nao watakuwa na wanao

Wazazi wapendeni na kuwajali watoto wenu ni ndugu zenu, marafiki na jamaa zenu wakati ambao wote uliokuwa nao watakuwa na wanao

kataip

Senior Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
145
Reaction score
80
Natumai kazi zinaendelea!
Niende kwenye mada moja kwa moja. Asilimia kubwa wakipata pesa uwekeza kwenye mapenzi na ndugu na marafiki

Visa ni vingi tunaishi navyo watoto watavipata kupitia kwa ndugu, jamaa, jirani, marafiki wa wazazi , wanaona,watalirelate lakini mwisho wa siku mzazi atamlaumu mama kama anashirikiana na mtoto La la la..

Wanaume wapendeni wake zenu watawaheshimu wajibu wako kupenda huduma hata kwao alipata zinazolingana na maisha yake, wajalini watoto wenu tokea mimba mnawaumiza sana mama zao na kufunja bond kwa kisingizio cha usiri kwa mambo ufanyao.

Wajibika kwa mkeo na wanao huku nje wengi wanafata mserereko akili kichwani jifaharishe upigwe huku nje watu hawana huruma.
 
Kama unakuja hvi halafu unakataaaa...

Nimeelewa kutoelewa

Hariri andiko lako mkuu
 
Back
Top Bottom