Wazazi wawasaidie watoto wao wa kike kupata wachumba (mume)

Aisee,naona mmeamua kutoleana uvivu.
 
Kwa hiyo mnakuwa na usiku mrefu saana wa kupumzika, siyo?

Sasa hudhani baada ya saa 1 ndiyo muda mzuri wa wewe kukubali mtongozo wangu mkuu?
Ungemfata Pm angekuona kuwa uko serious,angekukubalia.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Heheiyaaa!!! This is jf bwana
 
Mimi pia natafuta mwanaume jamani..Alie muisilamu na sio muisilamu jina..YAAANI HALI YA KUTAKA KUWA na mwenza..naitamani Sana kwani sitaki kuzini..na NAPATA Hali ya kutamani mwanaume Yaaani kudu..

Nateseka kwakweli.
 
Njoo pm
 
Mkuu kunywa soda ntalipa,watu wanaongelea mabinti kama bidhaa sokoni,hivi ni mwanamke tu anataka ndoa.

Wanaume ndoa ni jambo jema aliloumba Mungu inatakiwa ije yenyewe hivi wewe mtoa mada binti yako utamzungumzia hivi.
 
Mimi pia natafuta mwanaume jamani..Alie muisilamu na sio muisilamu jina..YAAANI HALI YA KUTAKA KUWA na mwenza..naitamani Sana kwani sitaki kuzini..na NAPATA Hali ya kutamani mwanaume Yaaani kudu..

Nateseka kwakweli.
Utapata tu Kama tabia yako, vaa yako ni nzuri

Na unawaeshimu wakubwa kwa wadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…