Naona..mawazo ya wazazi wake...anadhani Ni mawazo ya wazazi woteNdiyo nasikia kwako!!
Kweli mkuuu...Sasa Wewe umeambiwa na Mama yako...unakuja kudhani wazazi wote wanawaza.kama.mama.yako...🙄🙄🙄🙄
Mimi..ningehamia KABILA la wahayaMimi ningekuwa na uwezo ningehama kabila niwe Mnyakyusa.
Kweli mkuuu...Sasa Wewe umeambiwa na Mama yako...unakuja kudhani wazazi wote wanawaza.kama.mama.yako...
Uwe unatumia Akili kidunchu tu..kabla hijadhirishisha
najaribu kukujibu ilaKweli mkuuu...Sasa Wewe umeambiwa na Mama yako...unakuja kudhani wazazi wote wanawaza.kama.mama.yako...
Uwe unatumia Akili kidunchu tu..kabla hijadhirishisha ufinyu wa medula yako
Halafu naku "WOWA" na ninavyopenda 🤰Mimi..ningehamia KABILA la wahaya
Kabisa..nimi.OLEWA na wewe...Basi mambo FURESHHalafu naku "WOWA" na ninavyopenda [emoji1768]
Enhe makabila mengine...hapo..kataka.makabila.matatuHuo ni ukweli na wanaopinga humu wanatoka kwenye makabila hayo.
Wachaga wakiolewa wanataka wakuhamiahie kwenye familia yao. Yani eti mimi nikuoe alaf December na mimi nifunge safari kwenda uchagani.... over my deadbody.
Achana na kunipeleka mimi. Hata wew kwenda uchagani sio lazima December nitakupeleka hata March ukawaone wazazi. Ukifuatilia vzr ndoa nyingi za kichaga mara nyingi mwanamke yuko juu ya mwanaume.
Mapovu ruksa
UjikooooKabisa..nimi.OLEWA na wewe...Basi mambo FURESH
Ilitakiwa unyamaze kabla hujaleta Bandiko lako..kutokana na mawazo ya FAMILIA YENU....najaribu kukujibu ila