Wazazi wengi huwakataza watoto wao wasioe Wanyakyusa, Wachaga na Wahaya. Nini Sababu?

Wanawake wa kuoa ni wanyamwezi angalau Wana character za ndoa. Hence proved!
 
vivyohivyo ukioa kwa wanyakyusa wao ni watu wa safari sana
 
2.Wanawake wa Kinyakusya wengi wabinafsi na hapa Mara mia uoe Mchawi.
 
Mkuu hii comment yako inafanya tuzidi kubaki single girls wa kinyakyusa πŸ˜’, naamini kabila hali determine tabia ya mtu bana, anaweza kuwa kabila lingine na akawa na tabia mbovu pia, afu wanyaki ni wastaarabu sana.
hao watu ni wabinafsi hatari binti atataka tu uwahudumie watu wa kwao siyo wa kwenu na ndani ya ndoa atatafuta kila sababu azue tu tafrani akuudhi ili apate sababu ya kwenda kwao halafu wakwe watakuambia uje umfuate mkeo kama unampenda
 
Wengi WAJIVUNI SANA,
 
Wanyakyusa: Wanawake wa kinyaki,
Wanapenda kutembelea tembelea ndugu na kugawa chini hukohuko,(huwez mzuia kumtembelea ndugu ake,maana wa asili ya ubabe)

Wanapenda yeye ndio awe kichwa cha familia,na akiwa na kazi kidgo utafurah na shoo maana,maelewano ndani hakutakuwa nayo....ila wachapakaz na kwa nje ya familia wako poa sana,na marafiki wazuri ,shida ndani ya ndoa/familia moto unawaka,hawashauriki...ndio wanaongoza kuwa masingle maza..
 
Wengi wanataka watoto wao waoe WACHAGGA.
Na ulipo exclude hayo makabila, una maanisha wazazi wa wamakonde, wazaramo, wafipa, waha na ndengereko, upo sahihi maana wachagga wanapenda kufanya kazi, iwe kushona viatu mpaka biashara kubwa, sasa makabila mengine yaliyobaki ni legelege na ndio maana wana tahadharishwa ili legelege waoane na legelege wenzao.
 
hao watu ni wabinafsi hatari binti atataka tu uwahudumie watu wa kwao siyo wa kwenu na ndani ya ndoa atatafuta kila sababu azue tu tafrani akuudhi ili apate sababu ya kwenda kwao halafu wakwe watakuambia uje umfuate mkeo kama unampenda
Aah jamani mbona unatusingizia tabia mbaya wanyaki, huo ubinafsi nadhani ni tabia ya mtu tu haina uhusiano na kabila mkuuπŸ€”
 
Only weak species ndo zinaweza kua na mawazo mufilisi km hayo
 
Kuna mtu nmemuuliza hapa Kama ulivyo uliza akanijibu hivii.... "Maji kisude kuni maratasi" ila hata sjamuelewa... Kama kuna alie elewa tafasiri please...
 
Dah naona umetupa makavu live wanyaki, haki nikikosa mchumba mkuu utakua umesababisha weweπŸ€”πŸ˜’πŸ˜›
 
pumba tupu hapa
 
Cha kushangaza ndio makabila yanayoongoza kwa kuolewa Tz hilo likubaliwe au likataliwe...most of them ndoa zao zinakuaga na maendeleo kupita kiasi hata katika nyanja kubwa na sekta za muhimu kitaifa lazima ukutane na hizo chata zimejaa ukianzia ma lecturers vyuoni utasikia kina Mwaseba,Urassa na kina Rugemalila kibao! Nenda mahospitalini sasa kina Doctor Rwegasira,Tarimo na Lusekelo wamejaza robo tatu ya mahospitali

Angalia kwa mawakili mahiri na mahakimu na wanasheria matata lazima utawakuta kina Shirima,Mwaipopo na Mwombeki wametanda

Rudi maofisini usipokutana na kina Urio,Lusekelo na Rutashobya basi hiyo ofisi yenu ichunguze kwa makini.

Piga jicho upande wa ma Engineer usipokutana na Eng.Muganyizi,Tesha na Lusajo basi ujue kitengo hakijawa fresh

Njoo kwenye nyanja za wanauchumi usipomkuta Rugakingira,Woiso na Mwaisengela basi hapo team itakua haijabalance.

Inshort hawa watu tukiacha na bla! bla! Wako vizuri upstairs na mabinti zao hua ni warembo pia kwa namna za tofauti kila mmoja kwa muonekano wake...inshort km umetokea kabila weak na wewe ukawa weak minded kweli usijisumbue kuwaoa mabinti kutoka haya makabila utadhalilika brother!

Ila km uko poa kiakili za maisha basi oa hutajuta aisee! Maana kuna vijikabila vidogo dogo vina mapicha picha hawa wakasome halafu havina mbele wala nyuma.
 
Wanyakyusa wa Tukuyu, Ubabe. Ukimuoa labda ukubali kuwa chini yake.
Wanyakyusa ni washamba tuu na wanajipaka mikorogo
Kwa kawaida ni vizuri kuoa wa kabila lako! Kuoa Mhaya au Mnyakyusa kwa wewe ambaye siyo wa kabila hilo uwe umejiandaa kuvumilia yote.
Mama angu alikuwa hataki kusikia unamwambia sijui Nina mchumba muhaya..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Uko sahihi kabisa!

Just imagine unaoa kabila wanatoa maji, Licha ya maji wanagawa ovyo kama karanga, Shikilia hapohapo wengine wanapenda pesa kuliko mume

Kwanini wazazi wasikatae?

Enewei na mimi nimeoa mnyakyusa ni mtam kweli
Bwahahaha, ukisikia utani wa ngumi ndiyo huu sasa 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…