Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Wakinga wamefanyaje?Umenku
Kuna
Kuna wapangwa uku njombe ni hatari,hata wakinga pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakinga wamefanyaje?Umenku
Kuna
Kuna wapangwa uku njombe ni hatari,hata wakinga pia
KwannMimi ningekuwa na uwezo ningehama kabila niwe Mnyakyusa.
vivyohivyo ukioa kwa wanyakyusa wao ni watu wa safari sanaHuo ni ukweli na wanaopinga humu wanatoka kwenye makabila hayo.
Wachaga wakiolewa wanataka wakuhamiahie kwenye familia yao. Yani eti mimi nikuoe alaf December na mimi nifunge safari kwenda uchagani.... over my deadbody.
Achana na kunipeleka mimi. Hata wew kwenda uchagani sio lazima December nitakupeleka hata March ukawaone wazazi. Ukifuatilia vzr ndoa nyingi za kichaga mara nyingi mwanamke yuko juu ya mwanaume.
Mapovu ruksa
2.Wanawake wa Kinyakusya wengi wabinafsi na hapa Mara mia uoe Mchawi.Sababu walikuwa wanaamini Tabia ni kama ngozi ya mwili kuibadili ni kazi,hizo tabia zilithishwa wakati Jamii nyingi wanakaa pamoja hamna mwingiliano wa Watu ila kwa sasa imepungua kwa kiasi kudogo.
1.Wanawake wa kihaya wengi ni Malaya
2.Wanawake wa Kinyakusya wengi wabinafsi na hapa Mara mia uoe Mchawi.
3.Wanawake wa Kichaga hawana Utu achelewi kukuwekea simu ili tu Mali mlizochuma wote abaki nazo yeye.
hao watu ni wabinafsi hatari binti atataka tu uwahudumie watu wa kwao siyo wa kwenu na ndani ya ndoa atatafuta kila sababu azue tu tafrani akuudhi ili apate sababu ya kwenda kwao halafu wakwe watakuambia uje umfuate mkeo kama unampendaMkuu hii comment yako inafanya tuzidi kubaki single girls wa kinyakyusa 😒, naamini kabila hali determine tabia ya mtu bana, anaweza kuwa kabila lingine na akawa na tabia mbovu pia, afu wanyaki ni wastaarabu sana.
Habari wadau.
Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe Mnyakyusa, Mhaya au Mchaga bila kutoa ufafanuzi.
Kwanini? Hebu tujadiliane, kama unafahamu chochote kuhusu makatazo haya funguka hapa tafadhali
Wanyakyusa: Wanawake wa kinyaki,KUHUSU KUOA(SIO KUOLEWA).
Maana mume ndio huchagua sio mke.
SABABU:
Wachagga(Machame)= Wanawake wa kimachame wanapenda shirikiana na mama zao,kuhamisha Mali za familia walioolewa,wako tyr kuua mme ,ili kumilik Mali na hawaoni hasara kuishi mjane, (inasemekana waaminifu na wanamoyo wa kusaidia mpk ufanikiwe ndio anakuondoa/kuua). Na unaweza mshauri lolote ila baba ake akikataaa,basi jua hawez Fanya hata kama wewe ndio kichwa cha familia,maana wazeee tunasema baba zao wazazi(mkwe baba) ndio anawabikiri watoto zake wa kike kabla et....
Wahaya:- Wanawake wa kihaya,rahis kutoa tunda kimasihara,wamejaaa sinza,tandika,oystbay,etc...kwahyo hyo ndoa itakuwa na mgogoro. Ila wako vzr ktk kusaidia na kutunza familia.
Wanyakyusa: Wanawake wa kinyaki,
Wanapenda kutembelea tembelea ndugu na kugawa chini hukohuko,(huwez mzuia kumtembelea ndugu ake,maana wa asili ya ubabe)
Wanapenda yeye ndio awe kichwa cha familia,na akiwa na kazi kidgo utafurah na shoo maana,maelewano ndani hakutakuwa nayo....ila wachapakaz na kwa nje ya familia wako poa sana,na marafiki wazuri ,shida ndani ya ndoa/familia moto unawaka,hawashauriki...ndio wanaongoza kuwa masingle maza..
NB: MLIPO KWAZIKA MNISAMEHE.
NENO LANGU SIO SHERIA,
NMEJIBU BILA KUPEPESHA MACHO ILI VIJANA WA LEO WAFAHAU TULIYO JIONEA MIAKA YETU.
Wengi wanataka watoto wao waoe WACHAGGA.Habari wadau.
Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe Mnyakyusa, Mhaya au Mchaga bila kutoa ufafanuzi.
Kwanini? Hebu tujadiliane, kama unafahamu chochote kuhusu makatazo haya funguka hapa tafadhali
Aah jamani mbona unatusingizia tabia mbaya wanyaki, huo ubinafsi nadhani ni tabia ya mtu tu haina uhusiano na kabila mkuu🤔hao watu ni wabinafsi hatari binti atataka tu uwahudumie watu wa kwao siyo wa kwenu na ndani ya ndoa atatafuta kila sababu azue tu tafrani akuudhi ili apate sababu ya kwenda kwao halafu wakwe watakuambia uje umfuate mkeo kama unampenda
Dah wife mimi kaniaga kaenda kusalimia kwao kumbe kaenda kuagawa utamu [emoji24][emoji24] asee hizi uzi nyingine hazifai kusoma alf ni mnyakyusa my wifevivyohivyo ukioa kwa wanyakyusa wao ni watu wa safari sana
Dah naona umetupa makavu live wanyaki, haki nikikosa mchumba mkuu utakua umesababisha wewe🤔😒😛Wanyakyusa: Wanawake wa kinyaki,
Wanapenda kutembelea tembelea ndugu na kugawa chini hukohuko,(huwez mzuia kumtembelea ndugu ake,maana wa asili ya ubabe)
Wanapenda yeye ndio awe kichwa cha familia,na akiwa na kazi kidgo utafurah na shoo maana,maelewano ndani hakutakuwa nayo....ila wachapakaz na kwa nje ya familia wako poa sana,na marafiki wazuri ,shida ndani ya ndoa/familia moto unawaka,hawashauriki...ndio wanaongoza kuwa masingle maza..
Hii huyu baba vipi jamani😜😏
pumba tupu hapaYaani makabila yangekuwa ndani ya dalasa moja hayo makabila ndio tungeyaita best students. Mzazi wako hakukosea kabisa, ukiwa hauna mipango mjini, hauna akili kichwani na wala hauna msimamo wa kiume achana na hayo makabila, utajikuta umeolewa wewe. Ila kwa watu smart na wanaojiamini wanachagua kujenga future na hizo chata.
Wanyakyusa wa Tukuyu, Ubabe. Ukimuoa labda ukubali kuwa chini yake.
Wanyakyusa ni washamba tuu na wanajipaka mikorogo
Kwa kawaida ni vizuri kuoa wa kabila lako! Kuoa Mhaya au Mnyakyusa kwa wewe ambaye siyo wa kabila hilo uwe umejiandaa kuvumilia yote.
Mama angu alikuwa hataki kusikia unamwambia sijui Nina mchumba muhaya..😀😀😀😀
Bwahahaha, ukisikia utani wa ngumi ndiyo huu sasa 🤣 🤣 🤣Uko sahihi kabisa!
Just imagine unaoa kabila wanatoa maji, Licha ya maji wanagawa ovyo kama karanga, Shikilia hapohapo wengine wanapenda pesa kuliko mume
Kwanini wazazi wasikatae?
Enewei na mimi nimeoa mnyakyusa ni mtam kweli