Maty
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 2,167
- 727
Bishanga asante sana kwa kutupa udhoefu wako...nafurahi kweli nikisikia mwanaume anafurahia na kujigamba kuhusu uzao wake bila kusahau kuwapendea na kuwatimizia mahitaji yao ipasavyo!!!
Maty asante sana kwa angalizo mpendwa ila wanaume wengine ukisikia kwanini waliwakimbia waliozaa nao unaweza kulia!!Kuna wanawake wa ajabu kama ambavyo kuna wanaume wa ajabu....cha muhimu ni mtu kua mwangalifu bila kusahau mwelewa!!Kwasababu tu kashindwana na Mwajuma haina maana atashindwana na Ashura......:grouphug:
Na usisahau mpenzi wanaume ni waongo balaa, anaweza kukwambia mabaya ya mkewe kumbe mwongo mkubwa anataka kukunasa tu. Nashukuru umesema muhimu ni kuwa waangalifu maana haya mambo bwana magumu sana, sio ya kukurupuka.