Wazazi wenza...!

Wazazi wenza...!

Bishanga asante sana kwa kutupa udhoefu wako...nafurahi kweli nikisikia mwanaume anafurahia na kujigamba kuhusu uzao wake bila kusahau kuwapendea na kuwatimizia mahitaji yao ipasavyo!!!

Maty asante sana kwa angalizo mpendwa ila wanaume wengine ukisikia kwanini waliwakimbia waliozaa nao unaweza kulia!!Kuna wanawake wa ajabu kama ambavyo kuna wanaume wa ajabu....cha muhimu ni mtu kua mwangalifu bila kusahau mwelewa!!Kwasababu tu kashindwana na Mwajuma haina maana atashindwana na Ashura......:grouphug:

Na usisahau mpenzi wanaume ni waongo balaa, anaweza kukwambia mabaya ya mkewe kumbe mwongo mkubwa anataka kukunasa tu. Nashukuru umesema muhimu ni kuwa waangalifu maana haya mambo bwana magumu sana, sio ya kukurupuka.
 
Hahahahha....hata wanawake my dear.....pande zote zina hao wanaojifanyaga wao hawakua na makosa!!Muhimu tusihukumu kabla ya kujua yaliyomkuta mtu ni yapi!!
 
michelle
unafahamu kwamba maisha yako ya mahusiano
yanakuwa influenced zaidi na watu around you??????

Ukiwa na marafiki walio dirvoced very likely na wewe uta dirvoce
and vice versa...

I agree, si tu marafiki hata ndugu na wazazi,na zaidi pale ambapo unaona ku divorce kumewafanya wawe na furaha na mafanikio zaidi....i have observed friends in a hell of marriage and observed the best of them after divorce....God Forbid, i do not want divorce in my life!
 
Swala la mama kuwatesa watoto ambao siyo wa kwake ni la kibaolojia zaidi......................kila mzazi huamini uzao wake ndiyo sahihi na wa mwenzie unawalakini...................................jingine ni kudai mkate mkubwa wa kimaisha na watoto wana sehemu yao ya kufanya hivyo......................................baba anapompiga teke yule wa kwanza usidhani yule mama amefurahia...........................mara nyingi utakuta alishiriki kuchuma cho chote yule bwana alichonacho na mara nyingi hudhulumiwa........................................na kuambulia patupu................................dhuluma hiyo huzaa hasira na vinyongo...........na visasi.............ukiachilia mbali ya kuwa yule mzazi mwenzie kampiga teke wakati sasa wote wameanza kuchoka..............na utakuta hata wasiwasi wa uzee unaanza kujitokeza..............................kwa hiyo watoto wanakuwa ni silaha ya mwisho ya kupambana na hiyo dhuluma.................................

mara nyingi kama mgawanyo wa mavuno unafanyika bila ya zengwe yule mama aweza kuachia ngazi..........................lakini kama anaachwa solemba lazima apambane kudai jasho lake na ambalo ni jingi hasa ukizingatia hata watoto wapo..............................
 
Asante Ruta kwa point za msingi...kweli wakati mwingine inatokana na kinyongo au hali ya kuhisi mama amedhulumiwa.Ila ukweli ni kwamba wapo ambao hata wagawiwe mpaka vikombe nusu kwa nusu hawatoridhika kamwe!Namjua mama ambae mume alimnunulia apartment walivyoachana ikawa abaki nayo hiyo alafu mume abaki na nyumba...baadae akamjengea mke wake mpya nae nyumba yake ila sasa hivi yule mama anademand nyumba zote ziuzwe nae agawiwe!!Even though pesa yote iliyofanya hizo kazi zilikua za mwanaume!
 
[CODE]Na usisahau mpenzi wanaume ni waongo balaa, anaweza kukwambia mabaya ya mkewe kumbe mwongo mkubwa anataka kukunasa tu. Nashukuru umesema muhimu ni kuwa waangalifu maana haya mambo bwana magumu sana, sio ya kukurupuka.[/CODE]

Hufanya hivyo baada y kujua humtakii mema mpinzani wako lakini kama unamtakia mema hawezi kuja kwa staili hiyo.....................uongo unaegemea udhaifu wako mwenyewe .............................we are not stupid when we give white lies.............
 
Code:
Asante Ruta kwa point za msingi...kweli wakati mwingine inatokana na  kinyongo au hali ya kuhisi mama amedhulumiwa.Ila ukweli ni kwamba wapo  ambao hata wagawiwe mpaka vikombe nusu kwa nusu hawatoridhika  kamwe!Namjua mama ambae mume alimnunulia apartment walivyoachana ikawa  abaki nayo hiyo alafu mume abaki na nyumba...[COLOR=red]baadae akamjengea mke wake  mpya nae nyumba yake ila sasa hivi yule mama anademand nyumba zote  ziuzwe nae agawiwe!![/COLOR]Even though pesa yote iliyofanya hizo kazi zilikua  za mwanaume!
Mengine anahitaji kuelimishwa tu.............................anachostahili ni kabla hajaachika apewe mgawo wake wa nusu kwa nusu..........mali baada ya kuachika hawezi kuzidai labda kama atathibitisha ya kuwa ni zile zile alizoziacha................

Kuhusu kujengewa nyumba yawezekana ni sehemu ya stahili zake...............................................kwanza huwezi kuishi kwa kuila hiyo nyumba pekee..........................nyumba itakuondolea adha ya kodi na kupanga nyumba za wengine lakini bado gharama za kimaisha nyinginezi zipo palepale...........................kwa hiyo atEndewE ubinadamu............................Thereafter she will be ready to move on with her dear life.......................hata huyo aliyemrithi asidhani.........she is safe...................................akumbuke ya kuwa huyu jamaa yake ana sifa zifuatazo once a winker ALWAYS a winker...................
 
Code:
Asante Ruta kwa point za msingi...kweli wakati mwingine inatokana na  kinyongo au hali ya kuhisi mama amedhulumiwa.Ila ukweli ni kwamba wapo  ambao hata wagawiwe mpaka vikombe nusu kwa nusu hawatoridhika  kamwe!Namjua mama ambae mume alimnunulia apartment walivyoachana ikawa  abaki nayo hiyo alafu mume abaki na nyumba...[COLOR=red]baadae akamjengea mke wake  mpya nae nyumba yake ila sasa hivi yule mama anademand nyumba zote  ziuzwe nae agawiwe!![/COLOR]Even though pesa yote iliyofanya hizo kazi zilikua  za mwanaume!

Mengine anahitaji kuelimishwa tu.............................anachostahili ni kabla hajaachika apewa mgawo wake wa nusu kwa nusu..........mali baada ya kuachika hawezi kuzidai labda kama atathibitisha ya kuwa ni zile zile alizoziacha................

Kuhusu kujengewa nyumba yawezekana ni sehemu ya stahili zake...............................................kwanza huwezi kuishi kwa kuila hiyo nyumba pekee..........................nyumba itakuondolea adha ya kodi na kupanga nyumba za wengine lakini bado gharama za kimaisha nyinginezi zipo palepale...........................kwa hiyo atandewa ubinadamu.............................therafter she will be ready to move on.......................hata huyo aliyemrithi asidhani.........she is safe...................................akumbuke ya kuwa once a winker ALWAYS a winker...................

Gharama za kimaisha???!
Kwani huyu mume walioachana ni baba yake mpaka awe responsible na maisha ya mwanamke mzima mwenye kazi na mwanaume wake mwingine?!Huu naona kama utani maana siwezi kujiona miaka kadhaa nimeachika alafu namtegemea nilieachana nae ndo ajue ntaishi vipi!
 
hayo yote unayoyaelezea hapa hayana mashiko.....................la msingi ni kuwa kabla hawajaachana walikuwa wamevuna mali pamoja............sasa visingizio ya kuwa amepata bwana mwingine havimwondolei haki yake ya kuvuna jasho lake na mumewe wa kwanza.................................................huu ndiyo msimamo wa kisheria..............
 
Next time ntakuita....haya wapi mawazo yako kaka mzuri?!
<br />
<br />
Unajua nimesema useful kwa maana umegusa maisha yangu nilelewa na mama wa kambo mateso, masimango, manyanyaso siwezi kuyasimulia ni mengi mno. Lkn nimekuja kuoa mke ana mtoto cha ajabu baba mtu anataka kila wakati awasiliane na my wife nwy ngoja niishie hapa
 
Sasa ni kwamba hukuona niliposema kwamba washigawana kila mmoja akapata sawa yake?!Au kuna sheria ya ziada inayoruhusu mmoja kumnyonya mwenzake?!
 
Pole kwa yaliyokukuta..uzuri ni kwamba yamepita na maisha yanasonga!!

Kuhusu huyo mzazi wa pili wa mwanao w kufikia mnaweza sana kumdiscpline ikiwa mkeo yuko tayari kufanya hivyo.Yani aache kumuendekeza na kila kitu kiende kwa mipango....mawasiliano yanakuwepo kwa mtakavyokubaliana na sio kila akitaka anagonga hodi kwenu au anapiga tu simu!!
 
Code:
Sasa ni kwamba hukuona niliposema kwamba washigawana kila mmoja akapata  sawa yake?!Au kuna sheria ya ziada inayoruhusu mmoja kumnyonya  mwenzake?!

Huenda anaona kuwa amepunjika jamaa kabeba zaidi..............................it is a question of judgement
 
Amepunjika nini kama kisheria alipata stahili yake?!Ni tamaa tu na roho za kibinadamu zinazotusukuma kutamani na kutaka hata vile visivyo vyetu na tusivyostahili!
 
Back
Top Bottom