Wazazi wenzangu embu jifunzeni kitu hapa kwa nilichokiona nikiwa safarini

chinatown

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
1,232
Reaction score
1,105
Jumapili nilkuwanasafiri na gari kutoka west kilimanjaro to Dar.sitataja gari ya abiria niliyo safiri nayo.bahati nzuri au mbaya gari haikuwa na abiria wengi mpaka tumefika marangu gari ilikuwa na abiria kumi pamoja na mimi.Tulikaa sana pale kama dakika therasini.Tukaanza safari ya DAR.

Tumekuja taratibu mpaka tumefika upareni mwanga gari ikachepuka (bila taarifa kwa abiria)baadhi yetu wakaanza kuhoji mnatupeleka wapi huku? ndipo kondakta akatujulisha kuwa tunakwenda kucchukua wanafunzi ambao shule imefungwa na wanahitaji kurejea makwao.Tukawa hatunza neno japokuwa kibiashara haikuwa sawa kabisa.Anyway nisiingie huko siku nyingine nitaeleza sababu zinazoweza sababisha makampuni ya usafirishaji kuto dumu kwenye biashara hii ya uchukuzi.

Tukafika shule (jina la shule naficha) tukakuta watoto wamesha jiandaa wakaanza kupakia mizigo yao kwenye buti za gari kulingana na eneo analoshuka kama kawaida ya mabasi mengi.Watoto wakaanza kuingia ndani ya basi,na sisi wasafiri tuliotokea west kilimanjaro,tarakea na marangu tukaamuliwa sio kuombwa au excuses kuhamia seats za mbele ya basi.

WATOTO wakaanza kuingia ndani ya basi wakiwa wamevalia uniform ya skirt na tshirt ya shule yenye jina la shule na ujumbe,motto wa shule,baada ya wanafunzi kuingia wote kiongozi wa safari aka matron akaingia akawatangazia wanafunzi kuto badili nguo zao yaani uniforms hadi watakapofika mwisho wa safari
kioja ambacho nataka kuhadithia ni hiki,
watoto wote baada ya dakika ishirini hivi,tukiwa tayari tupo njia kuu DAR-ARUSHA watoto wote walikuwa wamefanya yafuatayo

1. Wote wamevaa suruali aina ya jeans,au big mark (suruali zenye mifuko pembeni) na tshirts zao sio za shule

2. Watoto wote walikuwa wamevaa cultures mikono yote na wengi wao zaidi ya tatu

3. Watoto wengi walikuwa wamesha paka rangi za kucha mikononi na miguuni

4. Watoto wengi walikuwa wamesha chinja kuku kwa mdomo(D2 wanajua hapa namaanisha nini)

5. Watoto wengi walikuwa wamepaka wanja na kulikuwa kuna mirror moja hivyo kila mwanafunzi akawa anaitaka ajitazame

6. Watoto wengi wamevaa miwani mikubwa ile ya kina dada wa mjini kama nicole wa bongo movie (msanii)

Nikajiuliza maswali mengi sana

1. hawa watoto kwa nini wabadili nguo ndani ya gari?,wana haraka gani? mbona sisi tulivyokuwa tunasoma tulikuwa tunasikia proud sana kutambulika kwa uniforms zetu?

2.wanabadili nguo ili waonekane kwa nani?,hawautaki uanafunzi? kuna shida gani wakirudi na hizo uniforms na hayo mengine yaanzie nyumbani?

Matron hakuwa na nguvu tena maana sikumsikia akisema chochote maana watoto walikuwa wanamfuata mbele kuomba simu ili wawasiriane na wazazi wao....so wazazi watoto wetu ndio hao
 
Kufanya NGONO na mwanafunzi above 18 sio kosa kisheria
IMG-20241126-WA0013.jpg
 
Jumapili nilkuwanasafiri na gari kutoka west kilimanjaro to Dar.sitataja gari ya abiria niliyo safiri nayo.bahati nzuri au mbaya gari haikuwa na abiria wengi mpaka tumefika...
Hakuna Mzazi Serious anampleka mtoto wake Bording school. Jukumu la kuhakikisha tabia bjema ya mtoto ni la mzazi na sio mwalimu.
 
Kufanya NGONO na mwanafunzi above 18 sio kosa kisheriaView attachment 3162439
Mkuu lugha za kisheria hizo , kwenye sheria unatakiwa kuwa makini sana maana erufi moja tu inaweza kukufanya upoteze kesi au ufungwe jera.

Kwa mujibu wa sheria za Tz kufanya mapenzi sio kosa ila kubaka ndo kosa,na ndio maana mahakamani linatumika neno kubaka na sio kufanya mapenzi.
 
Jumapili nilkuwanasafiri na gari kutoka west kilimanjaro to Dar.sitataja gari ya abiria niliyo safiri nayo.bahati nzuri au mbaya gari haikuwa na abiria wengi mpaka tumefika marangu...
Mtoto umleavyo ndio akuavyo mtoto unamuacha avae nguo zinazobana/kutunisha makalio yake........siku akija kufirw.a utashangaa?

Komaa tu kiongozi kulea mtoto wako vile unataka awe
 
Jumapili nilkuwanasafiri na gari kutoka west kilimanjaro to Dar.sitataja gari ya abiria niliyo safiri nayo.bahati nzuri au mbaya gari haikuwa na abiria wengi mpaka tumefika marangu gari ilikuwa na abiria kumi pamoja na mimi.Tulikaa sana pale kama dakika therasini.Tukaanza safari ya DAR.

Tumekuja taratibu mpaka tumefika upareni mwanga gari ikachepuka (bila taarifa kwa abiria)baadhi yetu wakaanza kuhoji mnatupeleka wapi huku? ndipo kondakta akatujulisha kuwa tunakwenda kucchukua wanafunzi ambao shule imefungwa na wanahitaji kurejea makwao.Tukawa hatunza neno japokuwa kibiashara haikuwa sawa kabisa.Anyway nisiingie huko siku nyingine nitaeleza sababu zinazoweza sababisha makampuni ya usafirishaji kuto dumu kwenye biashara hii ya uchukuzi.

Tukafika shule (jina la shule naficha) tukakuta watoto wamesha jiandaa wakaanza kupakia mizigo yao kwenye buti za gari kulingana na eneo analoshuka kama kawaida ya mabasi mengi.Watoto wakaanza kuingia ndani ya basi,na sisi wasafiri tuliotokea west kilimanjaro,tarakea na marangu tukaamuliwa sio kuombwa au excuses kuhamia seats za mbele ya basi.

WATOTO wakaanza kuingia ndani ya basi wakiwa wamevalia uniform ya skirt na tshirt ya shule yenye jina la shule na ujumbe,motto wa shule,baada ya wanafunzi kuingia wote kiongozi wa safari aka matron akaingia akawatangazia wanafunzi kuto badili nguo zao yaani uniforms hadi watakapofika mwisho wa safari
kioja ambacho nataka kuhadithia ni hiki,
watoto wote baada ya dakika ishirini hivi,tukiwa tayari tupo njia kuu DAR-ARUSHA watoto wote walikuwa wamefanya yafuatayo

1.wote wamevaa suruali aina ya jeans,au big mark (suruali zenye mifuko pembeni) na tshirts zao sio za shule
2. watoto wote walikuwa wamevaa cultures mikono yote na wengi wao zaidi ya tatu
3.watoto wengi walikuwa wamesha paka rangi za kucha mikononi na miguuni
4.watoto wengi walikuwa wamesha chinja kuku kwa mdomo(D2 wanajua hapa namaanisha nini)
5.watoto wengi walikuwa wamepaka wanja na kulikuwa kuna mirror moja hivyo kila mwanafunzi akawa anaitaka ajitazame
6.watoto wengi wamevaa miwani mikubwa ile ya kina dada wa mjini kama nicole wa bongo movie (msanii)

Nikajiuliza maswali mengi sana
1. hawa watoto kwa nini wabadili nguo ndani ya gari?,wana haraka gani? mbona sisi tulivyokuwa tunasoma tulikuwa tunasikia proud sana kutambulika kwa uniforms zetu?
2.wanabadili nguo ili waonekane kwa nani?,hawautaki uanafunzi? kuna shida gani wakirudi na hizo uniforms na hayo mengine yaanzie nyumbani?
matron hakuwa na nguvu tena maana sikumsikia akisema chochote maana watoto walikuwa wanamfuata mbele kuomba simu ili wawasiriane na wazazi wao....so wazazi watoto wetu ndio hao
Zama zinabadilika, usipate tabu sana kimawazo. Kila zama na kitabu chake.
 
Naomba niulize kidogo, waliweza vp kubadilisha nguo ili hali na nyie wasafiri wengine mkiwa humo humo ndani ya gari
 
Back
Top Bottom