Wazazi wenzangu embu jifunzeni kitu hapa kwa nilichokiona nikiwa safarini

Wazazi wenzangu embu jifunzeni kitu hapa kwa nilichokiona nikiwa safarini

Watoto wa kike wanahitaji ulinzi wenye udikteta wa hali ya juu, hakuna binadamu ambaye anabadilishwa na mazingira mapema kama mwanamke, ndio maana wazee wetu hawakurusiu kumpa nafasi yoyote mwanamke.
Sasa amepewa elimu, fursa sawa, teknolojia ya mawasiliano, uhuru, uchaguzi na mamlaka!

Tutarajie maanguko makubwa kwa kizazi kinacho tuandama. Labda mwenyezi Mungu atuonee huruma.
 
Jumapili nilkuwanasafiri na gari kutoka west kilimanjaro to Dar.sitataja gari ya abiria niliyo safiri nayo.bahati nzuri au mbaya gari haikuwa na abiria wengi mpaka tumefika marangu gari ilikuwa na abiria kumi pamoja na mimi.Tulikaa sana pale kama dakika therasini.Tukaanza safari ya DAR.

Tumekuja taratibu mpaka tumefika upareni mwanga gari ikachepuka (bila taarifa kwa abiria)baadhi yetu wakaanza kuhoji mnatupeleka wapi huku? ndipo kondakta akatujulisha kuwa tunakwenda kucchukua wanafunzi ambao shule imefungwa na wanahitaji kurejea makwao.Tukawa hatunza neno japokuwa kibiashara haikuwa sawa kabisa.Anyway nisiingie huko siku nyingine nitaeleza sababu zinazoweza sababisha makampuni ya usafirishaji kuto dumu kwenye biashara hii ya uchukuzi.

Tukafika shule (jina la shule naficha) tukakuta watoto wamesha jiandaa wakaanza kupakia mizigo yao kwenye buti za gari kulingana na eneo analoshuka kama kawaida ya mabasi mengi.Watoto wakaanza kuingia ndani ya basi,na sisi wasafiri tuliotokea west kilimanjaro,tarakea na marangu tukaamuliwa sio kuombwa au excuses kuhamia seats za mbele ya basi.

WATOTO wakaanza kuingia ndani ya basi wakiwa wamevalia uniform ya skirt na tshirt ya shule yenye jina la shule na ujumbe,motto wa shule,baada ya wanafunzi kuingia wote kiongozi wa safari aka matron akaingia akawatangazia wanafunzi kuto badili nguo zao yaani uniforms hadi watakapofika mwisho wa safari
kioja ambacho nataka kuhadithia ni hiki,
watoto wote baada ya dakika ishirini hivi,tukiwa tayari tupo njia kuu DAR-ARUSHA watoto wote walikuwa wamefanya yafuatayo

1.wote wamevaa suruali aina ya jeans,au big mark (suruali zenye mifuko pembeni) na tshirts zao sio za shule
2. watoto wote walikuwa wamevaa cultures mikono yote na wengi wao zaidi ya tatu
3.watoto wengi walikuwa wamesha paka rangi za kucha mikononi na miguuni
4.watoto wengi walikuwa wamesha chinja kuku kwa mdomo(D2 wanajua hapa namaanisha nini)
5.watoto wengi walikuwa wamepaka wanja na kulikuwa kuna mirror moja hivyo kila mwanafunzi akawa anaitaka ajitazame
6.watoto wengi wamevaa miwani mikubwa ile ya kina dada wa mjini kama nicole wa bongo movie (msanii)

Nikajiuliza maswali mengi sana
1. hawa watoto kwa nini wabadili nguo ndani ya gari?,wana haraka gani? mbona sisi tulivyokuwa tunasoma tulikuwa tunasikia proud sana kutambulika kwa uniforms zetu?
2.wanabadili nguo ili waonekane kwa nani?,hawautaki uanafunzi? kuna shida gani wakirudi na hizo uniforms na hayo mengine yaanzie nyumbani?
matron hakuwa na nguvu tena maana sikumsikia akisema chochote maana watoto walikuwa wanamfuata mbele kuomba simu ili wawasiriane na wazazi wao....so wazazi watoto wetu ndio hao
Elimu siku hizi haina thamani.....hapo tunasomesha ma single mazas tu na mwisho wa siku sisi wazazi tunakufa kwa stress. Tunajibana tunaingia mikopo tukidhani tunasomesha watoto.

Zamani ukitoka Shule Form five au Six ilikuwa ni Fahari sana.

Ukirudi nyumbani unavaa sare kila mtu ajue unasomea shule gani na unajisikia fahari hafi Sare zinaisha wakati wa likizo.

Siku hizi wanawaza ngono na kujiuza kwa wazee vijana wadogo sana.
 
Hayo ni maelekezo ya wazazi wao ndio maana hawayafanyi shuleni bali wanayafanya njiani wakielekea makwao na watapokelewa wala hakuna hata mmoja atakaye hojiwa na mzazi wake.
Tena hawa watoto waliokulia kwa Mama zao au kwa Bibi zao huku Baba zao hawaishi nao wao kutuma ada tu na hela ya chakula ni shida.

Kataa ndoa wanatuharibia Jamii. Wanzaa zaa hovyo na kutelekeza watoto huku wakijidai kutuma ada tu
 
Mkuu lugha za kisheria hizo , kwenye sheria unatakiwa kuwa makini sana maana erufi moja tu inaweza kukufanya upoteze kesi au ufungwe jera.
Kwa mujibu wa sheria za Tz kufanya mapenzi sio kosa ila kubaka ndo kosa,na ndio maana mahakamani linatumika neno kubaka na sio kufanya mapenzi.
18+years habakwi anakubali mwenyewe
 
nishajua ni shule gani… inaanza na herufi “B” kuvaa kacha hadi viongozi wa shule hiyo wanavaa ni kama utamaduni wa wenye shule na sio wa-tz
 
ule u-teenager ndo unawasumbua mkuu

siku hizi u-teenager una mambo mengi sana kwasababu ya mitandao ya jamii

kwahiyo watoto wanafanya 'ukichaa' mwingi tofauti na kipindi chenu
Mie binti yangu nampokeaGA mwenyewe stendi anapokuwa anarudi likizo. Labda huwa anabadili njiani na akifika karibu na stendi anavaa tena uniforms! Huwezi jua!!
 
Jumapili nilkuwanasafiri na gari kutoka west kilimanjaro to Dar.sitataja gari ya abiria niliyo safiri nayo.bahati nzuri au mbaya gari haikuwa na abiria wengi mpaka tumefika marangu gari ilikuwa na abiria kumi pamoja na mimi.Tulikaa sana pale kama dakika therasini.Tukaanza safari ya DAR.

Tumekuja taratibu mpaka tumefika upareni mwanga gari ikachepuka (bila taarifa kwa abiria)baadhi yetu wakaanza kuhoji mnatupeleka wapi huku? ndipo kondakta akatujulisha kuwa tunakwenda kucchukua wanafunzi ambao shule imefungwa na wanahitaji kurejea makwao.Tukawa hatunza neno japokuwa kibiashara haikuwa sawa kabisa.Anyway nisiingie huko siku nyingine nitaeleza sababu zinazoweza sababisha makampuni ya usafirishaji kuto dumu kwenye biashara hii ya uchukuzi.

Tukafika shule (jina la shule naficha) tukakuta watoto wamesha jiandaa wakaanza kupakia mizigo yao kwenye buti za gari kulingana na eneo analoshuka kama kawaida ya mabasi mengi.Watoto wakaanza kuingia ndani ya basi,na sisi wasafiri tuliotokea west kilimanjaro,tarakea na marangu tukaamuliwa sio kuombwa au excuses kuhamia seats za mbele ya basi.

WATOTO wakaanza kuingia ndani ya basi wakiwa wamevalia uniform ya skirt na tshirt ya shule yenye jina la shule na ujumbe,motto wa shule,baada ya wanafunzi kuingia wote kiongozi wa safari aka matron akaingia akawatangazia wanafunzi kuto badili nguo zao yaani uniforms hadi watakapofika mwisho wa safari
kioja ambacho nataka kuhadithia ni hiki,
watoto wote baada ya dakika ishirini hivi,tukiwa tayari tupo njia kuu DAR-ARUSHA watoto wote walikuwa wamefanya yafuatayo

1. Wote wamevaa suruali aina ya jeans,au big mark (suruali zenye mifuko pembeni) na tshirts zao sio za shule

2. Watoto wote walikuwa wamevaa cultures mikono yote na wengi wao zaidi ya tatu

3. Watoto wengi walikuwa wamesha paka rangi za kucha mikononi na miguuni

4. Watoto wengi walikuwa wamesha chinja kuku kwa mdomo(D2 wanajua hapa namaanisha nini)

5. Watoto wengi walikuwa wamepaka wanja na kulikuwa kuna mirror moja hivyo kila mwanafunzi akawa anaitaka ajitazame

6. Watoto wengi wamevaa miwani mikubwa ile ya kina dada wa mjini kama nicole wa bongo movie (msanii)

Nikajiuliza maswali mengi sana
1. hawa watoto kwa nini wabadili nguo ndani ya gari?,wana haraka gani? mbona sisi tulivyokuwa tunasoma tulikuwa tunasikia proud sana kutambulika kwa uniforms zetu?

2.wanabadili nguo ili waonekane kwa nani?,hawautaki uanafunzi? kuna shida gani wakirudi na hizo uniforms na hayo mengine yaanzie nyumbani?

Matron hakuwa na nguvu tena maana sikumsikia akisema chochote maana watoto walikuwa wanamfuata mbele kuomba simu ili wawasiriane na wazazi wao....so wazazi watoto wetu ndio hao
Matroni alitakiwa awaeleze umuhimu wa kuvaa unifomu wawapo safarini ni kwa usalama wao, na dereva na kondakita walitakiwa kuwaonya wanafunzi wasitembee ndani ya basi linapokuwa kwenye mwendo, kwa ajili ya usalama wao na endapo wangekaidi wangewakabidhi kwa trafiki.
 
Back
Top Bottom