Wazazi wenzangu embu jifunzeni kitu hapa kwa nilichokiona nikiwa safarini

Jumapili nilkuwanasafiri na gari kutoka west kilimanjaro to Dar.sitataja gari ya abiria niliyo safiri nayo.bahati nzuri au mbaya gari haikuwa na abiria wengi mpaka tumefika marangu gari ilikuwa na abiria kumi pamoja na mimi.Tulikaa sana pale kama dakika therasini.Tukaanza safari ya DAR.

Tumekuja taratibu mpaka tumefika upareni mwanga gari ikachepuka (bila taarifa kwa abiria)baadhi yetu wakaanza kuhoji mnatupeleka wapi huku? ndipo kondakta akatujulisha kuwa tunakwenda kucchukua wanafunzi ambao shule imefungwa na wanahitaji kurejea makwao.Tukawa hatunza neno japokuwa kibiashara haikuwa sawa kabisa.Anyway nisiingie huko siku nyingine nitaeleza sababu zinazoweza sababisha makampuni ya usafirishaji kuto dumu kwenye biashara hii ya uchukuzi.

Tukafika shule (jina la shule naficha) tukakuta watoto wamesha jiandaa wakaanza kupakia mizigo yao kwenye buti za gari kulingana na eneo analoshuka kama kawaida ya mabasi mengi.Watoto wakaanza kuingia ndani ya basi,na sisi wasafiri tuliotokea west kilimanjaro,tarakea na marangu tukaamuliwa sio kuombwa au excuses kuhamia seats za mbele ya basi.

WATOTO wakaanza kuingia ndani ya basi wakiwa wamevalia uniform ya skirt na tshirt ya shule yenye jina la shule na ujumbe,motto wa shule,baada ya wanafunzi kuingia wote kiongozi wa safari aka matron akaingia akawatangazia wanafunzi kuto badili nguo zao yaani uniforms hadi watakapofika mwisho wa safari
kioja ambacho nataka kuhadithia ni hiki,
watoto wote baada ya dakika ishirini hivi,tukiwa tayari tupo njia kuu DAR-ARUSHA watoto wote walikuwa wamefanya yafuatayo

1. Wote wamevaa suruali aina ya jeans,au big mark (suruali zenye mifuko pembeni) na tshirts zao sio za shule

2. Watoto wote walikuwa wamevaa cultures mikono yote na wengi wao zaidi ya tatu

3. Watoto wengi walikuwa wamesha paka rangi za kucha mikononi na miguuni

4. Watoto wengi walikuwa wamesha chinja kuku kwa mdomo(D2 wanajua hapa namaanisha nini)

5. Watoto wengi walikuwa wamepaka wanja na kulikuwa kuna mirror moja hivyo kila mwanafunzi akawa anaitaka ajitazame

6. Watoto wengi wamevaa miwani mikubwa ile ya kina dada wa mjini kama nicole wa bongo movie (msanii)

Nikajiuliza maswali mengi sana
1. hawa watoto kwa nini wabadili nguo ndani ya gari?,wana haraka gani? mbona sisi tulivyokuwa tunasoma tulikuwa tunasikia proud sana kutambulika kwa uniforms zetu?

2.wanabadili nguo ili waonekane kwa nani?,hawautaki uanafunzi? kuna shida gani wakirudi na hizo uniforms na hayo mengine yaanzie nyumbani?

Matron hakuwa na nguvu tena maana sikumsikia akisema chochote maana watoto walikuwa wanamfuata mbele kuomba simu ili wawasiriane na wazazi wao....so wazazi watoto wetu ndio hao
Kwanini gamkusaiduana na Matron kuwadhibiti hao watoto?
 
Hizo ni nyegezi za umri waliopo sasa isikupe shida...
 
BIASHARA YA WATU NDUGU
Wewe unashiriki katika kuua hiki kizazi kimaadili..!

Umeona hayo mapungufu ni vyema ukaitaja shule ili wachukue hatua kurekebisha hiyo hali.
Pia wazazi wakiona watakuwa makini zaidi kwa watoto wao.
 
Wako wengi tu. Kuna mtoto wa dada yangu alisoma Islamic school tena shule iko strict, lakini walienda kuiba ng'ombe mtaani na kuchinja wakachoma na kula. Mama yao na baba yao ni watu wa dini, nyumbani hakuna mziki unapigwa, ni mambo ya dini tu. Ila sasa, yeye na mdogo wake wameishia kuwajaza watoto wa watu mimba ingali wote ni wadogo. Haya mambo hayana ujanja.
Inaskitisha sana...

Cc: Mahondaw
 
Kwani lazima kuvalishwa mi uniform mkirudi nyumbani? Ujima tu huo. Sisi tulisoma shule zenye nidhamu lakini kipindi mkienda home mnasuka vizuri na mnavaa mnachotaka. Suruali sawa, gauni sawa .
Kuna kitu hukifahamu vyema kuhusu maadili na mifumo ya shule husika kimavazi na kimalezi.
Kukuelewesha tu hapa, fahamu kuwa...

Ushiriki wa mzazi kwenye malezi ya mtoto ndio msingi wa kwanza katika kumfundisha mtoto. Shule zimeweka utaratibu wa mavazi (uniform), na siku mtoto akija shuleni anapaswa kupokelewa akiwa na uniform na siku akirudi kwao atatoka na uniform, hii inamaanisha mzazi na shule wako katika mstari mmoja katika malezi ya mavazi kwa mtoto.
Shule inasema, mtoto tuliyempokea kwa mkataba wa kimaadili katika mavazi ndio mtoto tunayekurudishia katika mkataba ule ule wa kimaadili.

Sasa jiulize haya maswali halafu ujijibu mwenyewe.
1. Mtoto wa kike aliyeletwa shuleni na mzazi wake akiwa amevaa sketi fupi au suruali ya kubana na kupokelewa, shule itawezaje kumdhibiti kimavazi akiwa shuleni? Hizo nguo alizokuja nazo ataachaje kuzitumia akiwa shuleni? Wanafunzi wengine ambao hawana mitindo hiyo ya mavazi wanajifunza nini?

2. Mwanafunzi anayerejea kwao kutoka shuleni huku ametinga sketi fupi au suruali ya kubana, mzazi mwenye misingi ya maadili ya kimavazi, anampokeaje huyo mtoto ikiwa hakupelekwa shule na mitindo hiyo? Huyo mzazi atakuwa na haki ya kuilaumu hiyo shule kwa kumharibu mtoto wake kimaadili hata kama shule haihusiki moja kwa moja.

Kumbuka tu, saikolojia ya wanafunzi ni kuiga vitu vipya kutoka kwa wenzao, bila uniform, watoto wengi wasiokuwa na hatia wataharibikiwa wakiwa mashuleni.
 
Mimi nasema, tatizo pia ni huyo Matroni, ilipaswa siku hiyo hiyo baada ya kuwafikisha wanafunzi Dar na kazi afukuzwe mara moja, kwa kuwa ameshindwa kutimiza wajibu wake ipasavyo.
 
Mimi nadhani huenda hao ni wanafunzi wa kidato cha nne waliomaliza mitihani na sasa wanarejea nyumbani. Kwa sababu, wao hufunga mapema zaidi, na wana ujasiri wa kuweza kufanya jambo lolote lile kijeuri maana hawana cha kupoteza.
 
Mtoto umleavyo ndio akuavyo mtoto unamuacha avae nguo zinazobana/kutunisha makalio yake........siku akija kufirw.a utashangaa?

Komaa tu kiongozi kulea mtoto wako vile unataka awe
Halafu ni wa kiume.
 
Mtoto umleavyo ndio akuavyo mtoto unamuacha avae nguo zinazobana/kutunisha makalio yake........siku akija kufirw.a utashangaa?

Komaa tu kiongozi kulea mtoto wako vile unataka awe
Usichokijua ni kwamba Kuna watoto wanavaa Yale mabaibui makubwa kuona maungo yake labda upepo upige na bado wanabakwa Kila siku.

Ubakaji kwa watoto ni issue ya kifikra na sio muonekano.
 
Jumapili nilkuwanasafiri na gari kutoka west kilimanjaro to Dar.sitataja gari ya abiria niliyo safiri nayo.bahati nzuri au mbaya gari haikuwa na abiria wengi mpaka tumefika marangu gari ilikuwa na abiria kumi pamoja na mimi.Tulikaa sana pale kama dakika therasini.Tukaanza safari ya DAR.

Tumekuja taratibu mpaka tumefika upareni mwanga gari ikachepuka (bila taarifa kwa abiria)baadhi yetu wakaanza kuhoji mnatupeleka wapi huku? ndipo kondakta akatujulisha kuwa tunakwenda kucchukua wanafunzi ambao shule imefungwa na wanahitaji kurejea makwao.Tukawa hatunza neno japokuwa kibiashara haikuwa sawa kabisa.Anyway nisiingie huko siku nyingine nitaeleza sababu zinazoweza sababisha makampuni ya usafirishaji kuto dumu kwenye biashara hii ya uchukuzi.

Tukafika shule (jina la shule naficha) tukakuta watoto wamesha jiandaa wakaanza kupakia mizigo yao kwenye buti za gari kulingana na eneo analoshuka kama kawaida ya mabasi mengi.Watoto wakaanza kuingia ndani ya basi,na sisi wasafiri tuliotokea west kilimanjaro,tarakea na marangu tukaamuliwa sio kuombwa au excuses kuhamia seats za mbele ya basi.

WATOTO wakaanza kuingia ndani ya basi wakiwa wamevalia uniform ya skirt na tshirt ya shule yenye jina la shule na ujumbe,motto wa shule,baada ya wanafunzi kuingia wote kiongozi wa safari aka matron akaingia akawatangazia wanafunzi kuto badili nguo zao yaani uniforms hadi watakapofika mwisho wa safari
kioja ambacho nataka kuhadithia ni hiki,
watoto wote baada ya dakika ishirini hivi,tukiwa tayari tupo njia kuu DAR-ARUSHA watoto wote walikuwa wamefanya yafuatayo

1. Wote wamevaa suruali aina ya jeans,au big mark (suruali zenye mifuko pembeni) na tshirts zao sio za shule

2. Watoto wote walikuwa wamevaa cultures mikono yote na wengi wao zaidi ya tatu

3. Watoto wengi walikuwa wamesha paka rangi za kucha mikononi na miguuni

4. Watoto wengi walikuwa wamesha chinja kuku kwa mdomo(D2 wanajua hapa namaanisha nini)

5. Watoto wengi walikuwa wamepaka wanja na kulikuwa kuna mirror moja hivyo kila mwanafunzi akawa anaitaka ajitazame

6. Watoto wengi wamevaa miwani mikubwa ile ya kina dada wa mjini kama nicole wa bongo movie (msanii)

Nikajiuliza maswali mengi sana
1. hawa watoto kwa nini wabadili nguo ndani ya gari?,wana haraka gani? mbona sisi tulivyokuwa tunasoma tulikuwa tunasikia proud sana kutambulika kwa uniforms zetu?

2.wanabadili nguo ili waonekane kwa nani?,hawautaki uanafunzi? kuna shida gani wakirudi na hizo uniforms na hayo mengine yaanzie nyumbani?

Matron hakuwa na nguvu tena maana sikumsikia akisema chochote maana watoto walikuwa wanamfuata mbele kuomba simu ili wawasiriane na wazazi wao....so wazazi watoto wetu ndio hao
Mkuu kuna route ya west kilimanjaro, Tarakea to Dar?
 
Hakuna Mzazi Serious anampleka mtoto wake Bording school. Jukumu la kuhakikisha tabia bjema ya mtoto ni la mzazi na sio mwalimu.
Mkuu kuna shule na bora shule.
Shule nyingi za masister wako vizuri katika malezi. Kuna shule sitaitaja wasije kusema nilipie tangazo iko kulia kabla ya kufika Kilala kama unatokea tengeru arusha, mtoto haruhusiwi kwenda na nguo za nyumbani shule. Uniform,nguo za.michezo na za kufanyia kazi vyote wanapata shule. Na inafanya vizuri sana kielimu mtoto chini ya wastani B+ hakawezi kuhamia kidato kinachofuatia.
 
Wanafunzi wa sasa wameharibiwa na utandawazi,
Hawataki kupitwa na lolote lisilomhusu mwanafunzi,
Kuna daladala kama mbili tatu hivi niliziona maeneo ya chamazi zimebeba wanafunzi sasa sijui ni kawaida ya hiyo gari kila siku ama lah,muziki ni mkubwa alafu muziki wa singeli asubuhi na yanayoendelea humo wanajua wenyewe,
Ila nilichokiona wakati huo walionekana kufurahia muziki na kuzungusha miili na shingo kama haina mifupa
Wazazi umakini ni muhimu
 
  • Thanks
Reactions: apk
Mwisho wa mitihani yao wanapata D1 tu.
Kufupisha maneno ni kwamba wanafunzi walio wengi wa miaka ya 2010+ ni viande.

Wanapenda vitabia vya hovyo ilihali uwezo wao vichwani ni mdogo sana,hata kuandika barua tu wanashindwa.
 
  • Kicheko
Reactions: apk
Shule yenyewe ni henry gogarty??
Au precious blood?
Mkuu nakusalimu.
Mkuu kuna shule na bora shule.
Shule nyingi za masister wako vizuri katika malezi. Kuna shule sitaitaja wasije kusema nilipie tangazo iko kulia kabla ya kufika Kilala kama unatokea tengeru arusha, mtoto haruhusiwi kwenda na nguo za nyumbani shule. Uniform,nguo za.michezo na za kufanyia kazi vyote wanapata shule. Na inafanya vizuri sana kielimu mtoto chini ya wastani B+ hakawezi kuhamia kidato kinachofuatia.
 
Kwani lazima kuvalishwa mi uniform mkirudi nyumbani? Ujima tu huo. Sisi tulisoma shule zenye nidhamu lakini kipindi mkienda home mnasuka vizuri na mnavaa mnachotaka. Suruali sawa, gauni sawa
Wazazi wa jf utawaweza. Mi mwanangu arudi tu, hata akiamua kuvaa boxer kichwani avae tu.
Mi nimesoma shule mtu yuko free kuvaa chochote anapoondoka na anapoingia. Yani unafika shule unaingia bwenini uvabadili sare ndio unaenda kureport kwa T.O.D
Na wala haikuathiri chochote katika masomo wala tabia. Muhimu nitawafundisha kujitambua tu.
 
Jumapili nilkuwanasafiri na gari kutoka west kilimanjaro to Dar.sitataja gari ya abiria niliyo safiri nayo.bahati nzuri au mbaya gari haikuwa na abiria wengi mpaka tumefika marangu gari ilikuwa na abiria kumi pamoja na mimi.Tulikaa sana pale kama dakika therasini.Tukaanza safari ya DAR.

Tumekuja taratibu mpaka tumefika upareni mwanga gari ikachepuka (bila taarifa kwa abiria)baadhi yetu wakaanza kuhoji mnatupeleka wapi huku? ndipo kondakta akatujulisha kuwa tunakwenda kucchukua wanafunzi ambao shule imefungwa na wanahitaji kurejea makwao.Tukawa hatunza neno japokuwa kibiashara haikuwa sawa kabisa.Anyway nisiingie huko siku nyingine nitaeleza sababu zinazoweza sababisha makampuni ya usafirishaji kuto dumu kwenye biashara hii ya uchukuzi.

Tukafika shule (jina la shule naficha) tukakuta watoto wamesha jiandaa wakaanza kupakia mizigo yao kwenye buti za gari kulingana na eneo analoshuka kama kawaida ya mabasi mengi.Watoto wakaanza kuingia ndani ya basi,na sisi wasafiri tuliotokea west kilimanjaro,tarakea na marangu tukaamuliwa sio kuombwa au excuses kuhamia seats za mbele ya basi.

WATOTO wakaanza kuingia ndani ya basi wakiwa wamevalia uniform ya skirt na tshirt ya shule yenye jina la shule na ujumbe,motto wa shule,baada ya wanafunzi kuingia wote kiongozi wa safari aka matron akaingia akawatangazia wanafunzi kuto badili nguo zao yaani uniforms hadi watakapofika mwisho wa safari
kioja ambacho nataka kuhadithia ni hiki,
watoto wote baada ya dakika ishirini hivi,tukiwa tayari tupo njia kuu DAR-ARUSHA watoto wote walikuwa wamefanya yafuatayo

1. Wote wamevaa suruali aina ya jeans,au big mark (suruali zenye mifuko pembeni) na tshirts zao sio za shule

2. Watoto wote walikuwa wamevaa cultures mikono yote na wengi wao zaidi ya tatu

3. Watoto wengi walikuwa wamesha paka rangi za kucha mikononi na miguuni

4. Watoto wengi walikuwa wamesha chinja kuku kwa mdomo(D2 wanajua hapa namaanisha nini)

5. Watoto wengi walikuwa wamepaka wanja na kulikuwa kuna mirror moja hivyo kila mwanafunzi akawa anaitaka ajitazame

6. Watoto wengi wamevaa miwani mikubwa ile ya kina dada wa mjini kama nicole wa bongo movie (msanii)

Nikajiuliza maswali mengi sana
1. hawa watoto kwa nini wabadili nguo ndani ya gari?,wana haraka gani? mbona sisi tulivyokuwa tunasoma tulikuwa tunasikia proud sana kutambulika kwa uniforms zetu?

2.wanabadili nguo ili waonekane kwa nani?,hawautaki uanafunzi? kuna shida gani wakirudi na hizo uniforms na hayo mengine yaanzie nyumbani?

Matron hakuwa na nguvu tena maana sikumsikia akisema chochote maana watoto walikuwa wanamfuata mbele kuomba simu ili wawasiriane na wazazi wao....so wazazi watoto wetu ndio hao
Ni matokeo ya kuwafungia wanafunzi mno ndani ya mageti.
 
Back
Top Bottom