Wazazi wenzangu embu jifunzeni kitu hapa kwa nilichokiona nikiwa safarini

Watoto wa kike wanahitaji ulinzi wenye udikteta wa hali ya juu, hakuna binadamu ambaye anabadilishwa na mazingira mapema kama mwanamke, ndio maana wazee wetu hawakurusiu kumpa nafasi yoyote mwanamke.
Sasa amepewa elimu, fursa sawa, teknolojia ya mawasiliano, uhuru, uchaguzi na mamlaka!

Tutarajie maanguko makubwa kwa kizazi kinacho tuandama. Labda mwenyezi Mungu atuonee huruma.
 
Elimu siku hizi haina thamani.....hapo tunasomesha ma single mazas tu na mwisho wa siku sisi wazazi tunakufa kwa stress. Tunajibana tunaingia mikopo tukidhani tunasomesha watoto.

Zamani ukitoka Shule Form five au Six ilikuwa ni Fahari sana.

Ukirudi nyumbani unavaa sare kila mtu ajue unasomea shule gani na unajisikia fahari hafi Sare zinaisha wakati wa likizo.

Siku hizi wanawaza ngono na kujiuza kwa wazee vijana wadogo sana.
 
Hayo ni maelekezo ya wazazi wao ndio maana hawayafanyi shuleni bali wanayafanya njiani wakielekea makwao na watapokelewa wala hakuna hata mmoja atakaye hojiwa na mzazi wake.
Tena hawa watoto waliokulia kwa Mama zao au kwa Bibi zao huku Baba zao hawaishi nao wao kutuma ada tu na hela ya chakula ni shida.

Kataa ndoa wanatuharibia Jamii. Wanzaa zaa hovyo na kutelekeza watoto huku wakijidai kutuma ada tu
 
18+years habakwi anakubali mwenyewe
 
nishajua ni shule gani… inaanza na herufi “B” kuvaa kacha hadi viongozi wa shule hiyo wanavaa ni kama utamaduni wa wenye shule na sio wa-tz
 
ule u-teenager ndo unawasumbua mkuu

siku hizi u-teenager una mambo mengi sana kwasababu ya mitandao ya jamii

kwahiyo watoto wanafanya 'ukichaa' mwingi tofauti na kipindi chenu
Mie binti yangu nampokeaGA mwenyewe stendi anapokuwa anarudi likizo. Labda huwa anabadili njiani na akifika karibu na stendi anavaa tena uniforms! Huwezi jua!!
 
Matroni alitakiwa awaeleze umuhimu wa kuvaa unifomu wawapo safarini ni kwa usalama wao, na dereva na kondakita walitakiwa kuwaonya wanafunzi wasitembee ndani ya basi linapokuwa kwenye mwendo, kwa ajili ya usalama wao na endapo wangekaidi wangewakabidhi kwa trafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…