Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninaongelea "in real life situation" na sio maisha ya mtandaoni kama haya ya JF.Tusijifanye wapofu umuhimu upo sana case study ni haya majina yasiyo ya halali ( Fake Names/ID) tunayotumia hapa Jamii Forum
¹ Faida unayopata muda mwingine inalandana na hiyo ya Maisha ya kawaida.Ninaongelea "in real life situation" na sio maisha ya mtandaoni kama haya ya JF.
Sawa mkongweSiyo lazima ila ni desturi tu za wazee wa zamani
Mzee humpendi nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanangu nilimpa jina moja tu.
Naona ndugu zangu wanampachika tu jina la baba na mimi sipendi wanangu warithi majina.
Wananikwaza.nawaangalia tu.
Na akikua namwambia jina lako ni moja tu.
Sipendi upuuzi mm
Nampenda sana.Mzee humpendi nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]