dongo jeusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 248
- 210
Mbona kipindi hicho simu zilizokuwepo ni za mezani? Shule za primary hazikuwa na simu.Unasema tu mkuu..
Nakumbuka wakati niko primary nilianguka kwenye bembea shuleni nikavunjika mkono na hapo nyumbani mzee alikua ananiambia kila siku nisibembee bembea za shuleni ni mbovu sikuskia.. Alivyopigiwa simu akaja kabla ya kufanya chochote akachukua kamba akanifunga mkono usioumia kwenye chuma la bembea nikawa naning'inia alinichapa vibaya mno[emoji24][emoji24][emoji24]..
Halafu ndo akanifungua tukaenda hospitali, ile siku nilichekwa sitakaa nisahau [emoji23][emoji23][emoji23]
sio wote tumezaliwa miaka ya 90 au themanini mkuuh๐๐.. primary nimemaliza 201โฆ, Au basi kuna watu wangu wa maaana humu๐ค๐คMbona kipindi hicho simu zilizokuwepo ni za mezani? Shule za primary hazikuwa na simu.
Mzee wako ako na ujasiri wa hali yajuu, nayaelewa maumivu ya kuvunjika mkono ni makali mno.Unasema tu mkuu..
Nakumbuka wakati niko primary nilianguka kwenye bembea shuleni nikavunjika mkono na hapo nyumbani mzee alikua ananiambia kila siku nisibembee bembea za shuleni ni mbovu sikuskia.. Alivyopigiwa simu akaja kabla ya kufanya chochote akachukua kamba akanifunga mkono usioumia kwenye chuma la bembea nikawa naning'inia alinichapa vibaya mno๐ญ๐ญ๐ญ..
Halafu ndo akanifungua tukaenda hospitali, ile siku nilichekwa sitakaa nisahau ๐๐๐