Wazazi wote piteni hapa (miaka 20 ya maumivu)

Yaan hata miaka 21 hujafika ushakuwa Konki Master wa Kujichukulia Sheria mkononi.

Ukifika 30 yrs kishafutika. ☺☺☺☺
Hapo labda haukuelewa hiyo miaka ishirini sio ndo umri wangu... Ni miaka niliyo kuwa naishi kwenye addiction... Nilianza nikiwa shule ya msingi kuelekea secondari

Nimekuwa nikiacha na kurudi for those 20 yrs na nikafikia ile hali isiyo ya addiction kabisa..
 
Ndo maana inabidi tuanze kuongelea isiwe jukumu la therapist pekee

Binafsi huwa nikiona mistreatment ya mtoto huwa Natafuta namna ya ku solve...

Kuna wazazi wengine huwa ego headed wanasema hupaswi kuingilia majukumu yangu which of course ndo tuliyo programiwa.. Ila ni kitu kinacho niumiza kuona this mf anakwenda kuharibu kizazi by his/her pain na huwa napata na rage kubwa sana...ila with time naona sio kosa Lao maana they were hurt too na hawajui waanzie wapi

Ni kweli huu mjadala ni mgumu sana ila we can make a difference, hata kama ikoo so insignificant.
 

Nisiende mbali.
Kwahiyo wacheza Porno wote wamekosa Upendo wa Wazazi?.

Mm nimeishi na Bibi toka nina 5 yrs.
Mbona sijawah hata kufikiria kutamani hilo la Porno?.

mm nadhan ishu ni Malezi.
Na anayelea mtoto sio Baba au Mama mzazi pekee.
Kuna mtu anaweza akalea watoto vizur zaid ya hata wazazi halisi wa mtoto.

Malezi ndio Kila kitu.
Na sio Upendo wa baba au Mama.

Kwahiyo unataa kusema Kuwa , hata wazazi wako wakiwa hai. Baba na Mama na wakiwa hawana upendo na ww basi unataman ukacheze porno?. Au ujichue?.

Hao wamekimbilia huko kwa sababu hawakuwa na option zaid. Ili kujipatia ridhki.
Wakaona wacheze hizo filamu.
 
Na kuelewa unapotokea ila ni a mixture of both wazazi na mazingira. Ila chimbuko hasa ni deeper wounding..

Lazima mtu anayefanya kitu kisicho cha kawaida anakuwa na a bad event iliyo aababisha. Hapa hata ukibisha utakuwa unajidanganya tu.

We are adaptive creatures lazima kila kitu kina chanzo, hata hao marafiki au peers unakutana nao it's because mna similarities zinazo waweka pamoja mpka kufikia kufanya huo ushoga.
 
Lazima mtu anayefanya kitu kisicho cha kawaida anakuwa na a bad event iliyo aababisha. Hapa hata ukibisha utakuwa unajidanganya tu.
Naendelea kubisha.

Kucheza Porno ni kazi. Ni taaluma.
na wanaocheza sio wamekosa upendo wa wazazi. Bali waliona ndio option.
Inawezekana imekuwa rahisi kwasababu wazazi wao au mmoja wa wazazi wake hayuko. Ikawa rahisi.

Na sio kwasababu alikosa upendo. Wa wazazi.
Kwasababu ukikosa Upendo wa wazazi bado kuna Upendo mwingne unaweza ukaupata.
 
Umeongea vizuri, mambo ya kufikirisha sana haya!
 
Mada nzuri. Naona kama wenzetu watu weupe walijua umuhimu wa connection mapema na wanajitahidi sana ishu za mapenzi yao yasimuathiri mtoto kwa kiwango kikubwa wanapotengana, sisi huku bado.
Sisi tukitengana hasira tunahamishia kwa watoto, si baba yako hivi, si mama yako aliondoka, malezi yetu kivyetuvyetu
 
Kwa % ndogo upo sahihi mkuu.

Ila naona mtoa Mada atakuwa amecheza na % nyingi zaidi inawezekana watoto wengi walio_kosa malezi ya baba na mama wakawa wana uwezo mkubwa wa kushawishika kiwepesi kwenye issue tata kuzidi watoto wa upande wa_pili walio lelewa kwa upendo wa Baba na Mama.
 
walio_kosa malezi ya baba na mama wakawa wana uwezo mkubwa wa kushawishika kiwepesi kwenye issue tata kuzidi watoto wa upande wa_pili walio lelewa kwa upendo na Baba na Mama.

Umesema Upendo au malezi?.

Baba/Mama akikosekana. Kuna wengine wanaweza kukulea kwa Upendo. Je bado utaenda kucheza Porno? Kisa tu Umekosa Upendo wa Baba/Mama?.
 
Sio wote mkuu, wacheza pornography wapo ambao wamechukuliwa kama watumwa kupitia biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu,na kuna wale wanaofanya kwa hiari. Hao wanaofanya kwa hiari wote wana majeraha ya utotoni mfano kuna waliobakwa wakiwa watoto, kuna waliolawitiwa na kundi kubwa ni waliokua kwenye malezi ya mzazi mmoja,na sio kwamba eti walikua na maisha magumu wamekosa ajira ndo wakaingia humo.
Halafu mkuu usijilinganishe wewe na wengine, wewe huko kwa bibi yako pornography ilikuwa inapatikana kiganjani? Most likely hukuwa exposed to pornography so huwezi kutamani.
Hao naoengelea ni kwamba wanakuwa exposed to porn,kwa watoto wengine wanaangalia out of curiosity na kuacha, ila wao mioyo yao inavutiwa zaidi na hizo video kutokana na kwamba kisaikolojia hawapo kawaida ndio maana wanakuwa waraibu.
Hata hapa kwetu ni vile porno sio biashara halali, ingekuwa halali wangeenda wengi tu kuigiza hizo movie, mfano mzuri ni Gigy Money. Gigy amekua kwenye mazingira ya ovyo na hakupata upendo wa baba toka akiwa mdogo. Kukosekana kwa upendo wa wazazi jumlisha mazingira aliyokulia ndio sababu Gigy Money kawa vile alivyo. Kuna ambao wanakosa upendo wa wazazi lakini hawakutani na mazingira mabaya( mfano wewe) ila kwa wanaokutana na mazingira mabaya kuchomoka ni ngumu.
 

Labda useme Watoto wanaoishi kwenye Mazingira magumu.

Na pengine Mzazi wake mmoja yuko na Hana uwezo. Ndio wengi wanaingia humo.

Sasa hii ni Mtoto aliyekosa Malezi na Sio upendo.
 
Umeelezea vizuri mkuu, deep wounding plus mazingira, mazingira mabaya yakikukuta na deep wounding kuchomoka ni mtihani.
 
Asante kwa kuelezea vyema kiutafiti.
 

Tuache Mazingira.

Nadhan sasa uweke wazi tofauti ya Upendo wa Baba/Mama au wa mzazi wa upande mmoja na Malezi.

kuingia kwenye hiyo Kazi , weng ni mazingira. Na si Trauma ya kukosa upendo eti wa Baba au Mama.

wangap wamekua watu wazima ila hawawajui hata Baba/Mama zao?. Mbona hawajenda kucheza Porno?.
 
Elevenn mwishon utasema hata wanaume/wanawake Malaya wanaofanya Biashara wamekosa Upendo wa Baba zao.

Wakat Weng tu wanafanya ili kukidhi mahitaji yao na wengne wanatuma hela kutunza Baba na Mama zao + Watoto.

Unahisi ni Trauma ya Kukosa Upendo wa wazazi ndio ikafanya wawe Afisa mtoa Uroda?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…