Kweli, unakuta mtoto kajaa sumu kuhusu baba yake tangu utotoni anaambiwa baba yako ni mbwa kabisa yule.Sisi tukitengana hasira tunahamishia kwa watoto, si baba yako hivi, si mama yako aliondoka, malezi yetu kivyetuvyetu
Ongezea nyama,maana kuna kitabu cha saikolojia nimesoma kuna line inasema Watoto wa kike ambao hawajaishi na Baba zao,wakikua they seek male validation in a wrong way,..nataka nisikie upande wa watoto wa kiume bila Mama,..Kwenye porn addiction uko sahihi kabisa
Porno inakuwa outlet ya maumivu, aliyopitia... Huwa wanafanya vile sio tu kuwa wanapenda ila ni kutaka validation... As sex is one of the things that makes one feel connected.. Ila hawawi connected bali wanakuwa addicted na the chase of connection
Hata wazazi ambao hawajui how deep this issues are huwa wanakuwa na comparison zisizo na mashiko...Jamani tujifunze kuargue kwa kutumia general formulas, Mleta mada ameargue kwa kutumia tested scientific facts……
watu wakiweka generalizations njoo wakumbushe kuwa kuna exceptions (ambazo sikatai ni za muhimu sana)
Sio unakuja kuargue against general formulas kwa kutumia exceptions, The moment mtu akifanya hivyo, mueleweshe akiendelea muache, hiyo ni nuance anafanya.
Ukishaanza tu kusikia mbona mimi shangazi yangu hivi, mara mtoto wa mjomba wangu hivi jua hapo game over, pita hivi……
Sijamlenga mtu natoa angalizo.
Wow! My guy is in meta cognition manenos!Hata wazazi ambao hawajui how deep this issues are huwa wanakuwa na comparison zisizo na mashiko...
Na hii ni defensive mechanism...
Unavyo kuwa ndani ya trauma meta cognition huwa ina kuwa disabled.
Hata wazazi ambao hawajui how deep this issues are huwa wanakuwa na comparison zisizo na mashiko...
Na hii ni defensive mechanism...
Unavyo kuwa ndani ya trauma meta cognition huwa ina kuwa disabled.
Jaribu kumuelewa mtoa mada.Ni kuwa kutaka kujua sababu ya jambo fulani kufanyika kunaweza kuwa na sababu mbalimbali,lakini sababu ambayo imewagusa wengi inaweza kuwa sababu kuu.Nisiende mbali.
Kwahiyo wacheza Porno wote wamekosa Upendo wa Wazazi?.
Mm nimeishi na Bibi toka nina 5 yrs.
Mbona sijawah hata kufikiria kutamani hilo la Porno?.
mm nadhan ishu ni Malezi.
Na anayelea mtoto sio Baba au Mama mzazi pekee.
Kuna mtu anaweza akalea watoto vizur zaid ya hata wazazi halisi wa mtoto.
Malezi ndio Kila kitu.
Na sio Upendo wa baba au Mama.
Kwahiyo unataa kusema Kuwa , hata wazazi wako wakiwa hai. Baba na Mama na wakiwa hawana upendo na ww basi unataman ukacheze porno?. Au ujichue?.
Hao wamekimbilia huko kwa sababu hawakuwa na option zaid. Ili kujipatia ridhki.
Wakaona wacheze hizo filamu.
Wewe binti Nilikwambia kabisa ukitulia huwa unaongea point tupu... Utulizane sasa ukuze hicho kipajiWazazi wako busy sana.
Maisha yanawapeleka kasi sana.
Ajira zinawatenganisha.
Mmoja Nachingwea Mwingine Njombe.
Gharama za maisha zinapanda Kila siku.
Usaliti
Baba Yuko busy na michepuko
Mama Yuko busy anapambana na michepuko ya mume wake.
Talaka.
Nani anawakumbuka hao watoto?
Wazazi wanakutana nao uzeeni tu.
Na kuanza kuwafahamu vizuri watoto wao.
Nani alaumiwe?
Bado unarudi palepale kwenye % Mkuu.Umesema Upendo au malezi?.
Baba/Mama akikosekana. Kuna wengine wanaweza kukulea kwa Upendo. Je bado utaenda kucheza Porno? Kisa tu Umekosa Upendo wa Baba/Mama?.
Asante sanaWewe binti Nilikwambia kabisa ukitulia huwa unaongea point tupu... Utulizane sasa ukuze hicho kipaji
Ila mbona umeongelea upande wa wanaume pekee, au ulitolea mfano?
Uko sahihi, watoto hujiuliza mengi sana kuhusu wazazi walio watelekeza na mara nyingi hayo maumivu ndo huwa fanya either wajitume kupitiliza ana waishie kweny uraibu
Nakupa mauwa yako tena
Yuko sahihi kwa asilimia chache sanaBado unarudi palepale kwenye % Mkuu.
Ndugu kama Bibi, mjomba, shangazi n.k wanaweza kukulea kwa upendo/maadili.
Lakini % kubwa ya upendo na malezi bora utayapata kwa Baba na Mama yako kuliko kwa watu wengine labda kama unataka kubishana .
Nakubaliana na wewe 100%.Nje ya Mada:-
Yaan hata miaka 21 hujafika ushakuwa Konki Master wa Kujichukulia Sheria mkononi.
Ukifika 30 yrs kishafutika. ☺☺☺☺
Ndan ya Mada:-
Ukichosema kuwa ndio sababu ya ww kuwa hivyo. Sivyo ilivyo.
Kukosa Upendo toka kwa Mzazi mmoja au kukosa upendo wa Wazazi hakufanyi mtu awe mcheza Porno au kupenda kujichua au Malaya.
Suala hapa ni Malezi.
Unaweza ukalelewa na Walezi na ukatokea mtu safi. Na unaweza ukalelewa na wazaz wote wawili na ukawa wa foo tu.
NB:-
Kuna madhambi mengne Ukifanya na mzazi wako akijua unaona kabisa atakumind au kuchukia kwa namna nyingne. Ndio maana haufanyi. Ila kwakuwa ameshafariki ndio unafanya . Ila sio Yeye ndio amesabisha.
Kuna mashoga kibao wana wazazi wawili. Ila wanafanya kwa vificho. Ila mzaz mmoja akibaki au wote wasiokuwepo basi wanafunguka zaidi kwenye hizo dhambi zao. Na hii ni sababu mwanzoni walikuwa wanaheshimu wazaz wao na sio kwakuwa wamekosa Upendo kwa hao wazazi wao.
Ishu ni Malezi, Shule na Mazingira.
Ndio muda sahihi mkuu, mijadala ya namna hii ni muhimu na kwa kiasi chake matokea yameanza kuonekana .Hii mada ni sensitive sana: swali ni je wazazi wangapi wanajali? Wenyewe walipona kabla ya kuamua kuwa wazazi? Matatizo unayopitia leo yawezekana mzazi wako pia alipitia, je ye anaona kama hayo ni matatizo au ni part ya maisha?
Shidhani kama tuko tayari kwa huu mjadala.
Hapo kwenye kuseek validation,kuna ex actor wa kike yeye alisema, mtu wa kwanza kumwambia" you are beautiful" alikuwa agent aliyemuingiza humo. Mwingine wa kiume yeye alidai hakuwahi kujua " how to be a man" maana baba yake hakuwepo wakati anakua, wale agents walimwambia" we will teach you how to be a man" wakamnasa. Kuna maneno kwa mtoto aliyekosa upendo huwa yanapenya hadi ndani kabisa ya mtima. Mwingine addict wa kutazama yeye alidai alitaka kujifunza techniques ili mume wake asije akamuacha kama baba yake alivyomuacha mama ake, mwisho akajikuta anakuwa addict maana kila alipotazama alipata assurance kwamba" mume wangu hataniacha coz I am good in bed" akajikuta kawa teja akidhani anajiandaa na ndoa yake ijayo. Stories ni nyingi kwenye hii issue.
Naendelea kubisha.
Kucheza Porno ni kazi. Ni taaluma.
na wanaocheza sio wamekosa upendo wa wazazi. Bali waliona ndio option.
Inawezekana imekuwa rahisi kwasababu wazazi wao au mmoja wa wazazi wake hayuko. Ikawa rahisi.
Na sio kwasababu alikosa upendo. Wa wazazi.
Kwasababu ukikosa Upendo wa wazazi bado kuna Upendo mwingne unaweza ukaupata.