Wazee anayejua mganga mzuri, nimeibiwa tofali zangu site

Wazee anayejua mganga mzuri, nimeibiwa tofali zangu site

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Nilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu NB: moderator msiunganishe huu uzo tafadhari nataka nipate msaada hapa hapa
 
Nilipeleka site tofali mia 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea numekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu NB: moderator msiunganishe huu uzo tafadhari nataka nipate msaada hapa hapa
Ushauri wangu: accept umeingia hasara na umove on. Otherwise unajiletea uharibifu usio wa lazima au kupoteza zaidi ya hicho
 
Nilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu NB: moderator msiunganishe huu uzo tafadhari nataka nipate msaada hapa hapa
Mkuu, miezi 5 tofari zimekaa tu hii mbwinu ya wapi ya ujenzi.

Acha wenye haraka na ujenzi wazitumie.

Next time, tofali inafika site na kuanza kutumiwa.

Achana na waganga, umechangia ujenzi wa Taifa 🤣🤣
 
Pole sana. Ila mganga atakulia tu hela yako kwa sababu huo ni uzembe wako kuweka tofali 500 miezi mitano bila kuzitumia. ILIKUWA LAZIMA ZIIBIWE.
 
Back
Top Bottom