Wazee anayejua mganga mzuri, nimeibiwa tofali zangu site

Daah ungeweka mlinzi wa eneo hilo unamlipa bila kutegemea majirani maana hawapendi maendeleo ni ngumu tofali 500 zinabebwa hakuna mtu alieona ila kwa mtaani ni kawaid wanameza jiwe tu.
Usimtafute mganga utaibiwa tena hakuna msaada hapo.
 
Nilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu NB: moderator msiunganishe huu uzo tafadhari nataka nipate msaada hapa hapa
Nipe kazi
 
Kabla ya kwenda kwa mganga.
Anza na upepelez binafsi.

- Anza na Dereva aliyekupelekea hayo matofali site.
(Tafuta pia wale majamaa wanaobebaga matofali kwenda site)
-piga biti moja matata sana kwa majiran zako. Na ikiwezekana weka tangazo la kuamuru aliyechukua arudishe huku uneweka maneno makali mfano
" aliyechukua matofali eneo hili anaombwa arudishe ndan ya siku saba kuanzia tar ×× . La sivyo hakutakuwa na mtu atakayesalia katika familia yake wa kumzika mwenzake" 😎😎😎

- report polis . Kwa mjumbe na serikal ya mtaa.
(Kujihami)

Na kwa mganga nenda kweli. Woooi . Roga tu hakuna namna 😁😁😁😁
Duhh process ndefuu🤭
 
Si ndo ushangae.
Biti la nini, atakuja kuomba msamaha akiwa na tofali lake kichwani. 😁
Hajakutana na wezi huyu, kuna mpuuzi hashtushwi na vina vya vitisho😂
 
Nilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu NB: moderator msiunganishe huu uzo tafadhari nataka nipate msaada hapa hapa
Nenda kwa kalumanzira
 
Hajakutana na wezi huyu, kuna mpuuzi hashtushwi na vina vya vitisho😂
Kuna sehemu vijana waliingia chaka (Watumishi wa Serikali), wakampiga cha mbavu mama mmoja na biashara zake, walifululiza kudondoka mmoja mmoja wote kwa mtindo mmoja.

Kuna wataalamu ni moto wa kuotea mbali.
 
Nilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu NB: moderator msiunganishe huu uzo tafadhari nataka nipate msaada hapa hapa
Njoo inbox nikusaidie na yeyote mwenye shida kama ww
 
Pole kwa changamoto!!jitaidi Sana ukipeleka tofari site fundi azijenge moja kwa moja.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom