Wazee anayejua mganga mzuri, nimeibiwa tofali zangu site

Nilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu NB: moderator msiunganishe huu uzo tafadhari nataka nipate msaada hapa hapa

Km unaweza kufika kufika kahama ntakuelekeza
 
Kiwanja hakitembelewi tafuta hela wape wakandarasi wafanye kazi wewe ukabidhiwe ufunguo wa nyumba ukague na kuanza kuishi.
Ona sasa umepeleka matofali kulinda kiwanja na yameibiwaaa. Anyway pole
 
Nilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu NB: moderator msiunganishe huu uzo tafadhari nataka nipate msaada hapa hapa
Kumbe ndiyo wewe,nimezipiga mie
 
Kabla ya kwenda kwa mganga.
Anza na upepelez binafsi.

- Anza na Dereva aliyekupelekea hayo matofali site.
(Tafuta pia wale majamaa wanaobebaga matofali kwenda site)
-piga biti moja matata sana kwa majiran zako. Na ikiwezekana weka tangazo la kuamuru aliyechukua arudishe huku uneweka maneno makali mfano
" aliyechukua matofali eneo hili anaombwa arudishe ndan ya siku saba kuanzia tar ×× . La sivyo hakutakuwa na mtu atakayesalia katika familia yake wa kumzika mwenzake" 😎😎😎

- report polis . Kwa mjumbe na serikal ya mtaa.
(Kujihami)

Na kwa mganga nenda kweli. Woooi . Roga tu hakuna namna 😁😁😁😁
 
Aisee nitafanya kama ulivyosema
 
Wenzio huwa tunazipulizia spray wewe, mpaka mwizi afute spray ni shughuli pevu kuziiba
Utazunguka mji mzima kuzitafuta? What if aliyeuziwa kachukua akajengea kisha akapiga plaster, hiyo spray yako utaionea wapi?

Mleta mada samehe tu. Huko kwa mganga utajikuta umetumia pesa nyingi kuliko gharama ya hizo tofali.

Jipange upya ununue nyingine tu. Na awamu gii ni bora ukadeposit pesa yako hapo kwa dealer wa tofali kikubwa akupe risti ya mzigo na iandikwe kuwa hujachukua. Siku ukieneza hela ya tofali za mjengo wote, unabeba na kupeleka site.
 
Kuna ile alama huwekwa ndani ya kibao cha kufyatulia, kuiba tofali ni ngumu sana kwa kuwa ina alama, labda uibe na kupiga plasta siku hiyohiyo tena usiku kabla hujaonwa
 
Nilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu NB: moderator msiunganishe huu uzo tafadhari nataka nipate msaada hapa hapa
Achana na mambo ya uganga utapoteza pesa zako waganga walikua zamanii wakweriiii....

NB. TAFUTA MUVI INAITWA ICE FALL ikiwa inaanza dj. Mark Kuna trailer za matangazo ya waganga konkiii jaribu..
Kuna siku nili enda kwa ndugu Fulani wakaweka hiyo MUVII ya DJ MARK..Anatafsirii UONGO kinyamaa
 
Nilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu NB: moderator msiunganishe huu uzo tafadhari nataka nipate msaada hapa hapa
Pole sana mkuu!! ndiomaana mwizi haitakiwi kumuonea huruma
 
Ipi hiyo mkuu
 
Nilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu NB: moderator msiunganishe huu uzo tafadhari nataka nipate msaada hapa hapa
Pole sana, mkuu, but that isn’t how it works! Unatakiwa kuzizindika tofali kabla ya wizi ili zishindikane mtu kuziiba bila consequences. Kwa mfano, mwizi akizibeba tofali zilizozindikwa, anashindwa kuzitua site kwake!

Unachojaribu kufanya wewe ni sawa na kujaribu kuroga wanaume waliowahi kutembea na mke wako. That is superstitiously impossible. Unachoweza kufanya ni kumzindika mkeo against future (not past) sexual cheating!
 
Back
Top Bottom