Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Daah mkuu ni hatari Leo siku mbaya sanaDaaahh asee pole sana..
Ushauri wangu: accept umeingia hasara na umove on. Otherwise unajiletea uharibifu usio wa lazima au kupoteza zaidi ya hichoNilipeleka site tofali mia 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea numekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu NB: moderator msiunganishe huu uzo tafadhari nataka nipate msaada hapa hapa
Aisee inauma hatari yaani mawazo yangu ninatofali miatano kumbe watu washazibebaUshauri wangu: accept umeingia hasara na umove on. Otherwise unajiletea uharibifu usio wa lazima au kupoteza zaidi ya hicho
NaniKamsemee kwa babaake
Relax mkuu ili mihemko isikupeleke pabaya. Au Mshana Jr una lipi la kumwambia hapa?Aisee inauma hatari yaani mawazo yangu ninatofali miatano kumbe watu washazibeba
Mkuu, miezi 5 tofari zimekaa tu hii mbwinu ya wapi ya ujenzi.Nilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu NB: moderator msiunganishe huu uzo tafadhari nataka nipate msaada hapa hapa
upo wapi?Daah mkuu ni hatari Leo siku mbaya sana
Wenzio huwa tunazipulizia spray wewe, mpaka mwizi afute spray ni shughuli pevu kuziiba
Unahitaji kitimoto?Matapeli fursa hyo, nguruwe kafia kwa sheikh
maisha ni fumbo...sidhani kama ni uzembe yawezekana alikuwa bado anajichangaPole sana. Ila mganga atakulia tu hela yako kwa sababu huo ni uzembe wako kuweka tofali 500 miezi mitano bila kuzitumia. ILIKUWA LAZIMA ZIIBIWE.