lintolinto
Member
- Oct 4, 2024
- 41
- 69
Nilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu NB: moderator msiunganishe huu uzo tafadhari nataka nipate msaada hapa hapa
Km unaweza kufika kufika kahama ntakuelekezaNilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu NB: moderator msiunganishe huu uzo tafadhari nataka nipate msaada hapa hapa
Naskia mtamu lakn mm ile halaf yake hata kama nina njaa ya kufa bora nife lakn siriUnahitaji kitimoto?
SawaNaskia mtamu lakn mm ile halaf yake hata kama nina njaa ya kufa bora nife lakn siri
Kobaz au ni wewe uliziiba?Matapeli fursa hyo, nguruwe kafia kwa sheikh
Kumbe ndiyo wewe,nimezipiga mieNilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu NB: moderator msiunganishe huu uzo tafadhari nataka nipate msaada hapa hapa
Aisee nitafanya kama ulivyosemaKabla ya kwenda kwa mganga.
Anza na upepelez binafsi.
- Anza na Dereva aliyekupelekea hayo matofali site.
(Tafuta pia wale majamaa wanaobebaga matofali kwenda site)
-piga biti moja matata sana kwa majiran zako. Na ikiwezekana weka tangazo la kuamuru aliyechukua arudishe huku uneweka maneno makali mfano
" aliyechukua matofali eneo hili anaombwa arudishe ndan ya siku saba kuanzia tar ×× . La sivyo hakutakuwa na mtu atakayesalia katika familia yake wa kumzika mwenzake" 😎😎😎
- report polis . Kwa mjumbe na serikal ya mtaa.
(Kujihami)
Na kwa mganga nenda kweli. Woooi . Roga tu hakuna namna 😁😁😁😁
Utazunguka mji mzima kuzitafuta? What if aliyeuziwa kachukua akajengea kisha akapiga plaster, hiyo spray yako utaionea wapi?Wenzio huwa tunazipulizia spray wewe, mpaka mwizi afute spray ni shughuli pevu kuziiba
Achana na mambo ya uganga utapoteza pesa zako waganga walikua zamanii wakweriiii....Nilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu NB: moderator msiunganishe huu uzo tafadhari nataka nipate msaada hapa hapa
Pole sana mkuu!! ndiomaana mwizi haitakiwi kumuonea hurumaNilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu NB: moderator msiunganishe huu uzo tafadhari nataka nipate msaada hapa hapa
Hao sio wakuwasamehe mkuu!!Kuna thread humu inajadili wataalamu konki utafuteAisee inauma hatari yaani mawazo yangu ninatofali miatano kumbe watu washazibeba
Tofari zinakaa site hata mwaka! Mimi kuna mwaka waliiba tofari zangu mia tu! Walizirudisha wenyewePole sana. Ila mganga atakulia tu hela yako kwa sababu huo ni uzembe wako kuweka tofali 500 miezi mitano bila kuzitumia. ILIKUWA LAZIMA ZIIBIWE.
Hao sio wakuwasamehe mkuu!!Kuna thread humu inajadili wataalamu konki utafute
Ipi hiyo mkuuHao sio wakuwasamehe mkuu!!Kuna thread humu inajadili wataalamu konki utafute
Ipi hiyo mkuu
Pole sana, mkuu, but that isn’t how it works! Unatakiwa kuzizindika tofali kabla ya wizi ili zishindikane mtu kuziiba bila consequences. Kwa mfano, mwizi akizibeba tofali zilizozindikwa, anashindwa kuzitua site kwake!Nilipeleka site tofali 500 miezi mitano iliyopita Leo nimetoka kutembelea nimekuta hazipo majirani nawauliza wanasema walisafiri kwamba hawakuwepo hivyo natafuta mganga wa kuweza kufanya hii kazi kikamilifu aiwezekani mtu ujibane Kwa ajili ya ujenzi halafu mijitu inakuja kubeba tu tofali zangu NB: moderator msiunganishe huu uzo tafadhari nataka nipate msaada hapa hapa
Mimi nijenge kama nani na Dunia tunapita, sijengi njian mmKobaz au ni wewe uliziiba?