Wazee anayejua mganga mzuri, nimeibiwa tofali zangu site

Daah ungeweka mlinzi wa eneo hilo unamlipa bila kutegemea majirani maana hawapendi maendeleo ni ngumu tofali 500 zinabebwa hakuna mtu alieona ila kwa mtaani ni kawaid wanameza jiwe tu.
Usimtafute mganga utaibiwa tena hakuna msaada hapo.
 
Nipe kazi
 
Duhh process ndefuu🤭
 
Si ndo ushangae.
Biti la nini, atakuja kuomba msamaha akiwa na tofali lake kichwani. 😁
Hajakutana na wezi huyu, kuna mpuuzi hashtushwi na vina vya vitisho😂
 
Nenda kwa kalumanzira
 
Hajakutana na wezi huyu, kuna mpuuzi hashtushwi na vina vya vitisho😂
Kuna sehemu vijana waliingia chaka (Watumishi wa Serikali), wakampiga cha mbavu mama mmoja na biashara zake, walifululiza kudondoka mmoja mmoja wote kwa mtindo mmoja.

Kuna wataalamu ni moto wa kuotea mbali.
 
Njoo inbox nikusaidie na yeyote mwenye shida kama ww
 
Pole kwa changamoto!!jitaidi Sana ukipeleka tofari site fundi azijenge moja kwa moja.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…