Wazee hii imekaaje, ni kwangu Tu ama?

Wazee hii imekaaje, ni kwangu Tu ama?

Chief Kumbyambya

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2022
Posts
719
Reaction score
2,408
Wasalaaaaam....

Wazee mimi naishi na manzi sasa ana mimba yapata miezi saba sasa, ila kinachonitatiza sina mzuka kabisa wa kumgonga mwanamke mwenye mimba. Yaani mimba kubwa tumbo hiiloooooo hapana aisee, sijui ni kwanini!!!

Yeye kuna time namuona kabisa kuwa anataka ukuni, anaanza kunishika shika ila sasa mimi mzuka na mwanamke mwenye mimba kubwa ndiyo sinaaaa, yaani sina kabisaaaa.
Mechi zangu za ugenini napigia hukoo kwa wasio na mimba.

Nilikwambia bibie mpaka ujifungue ukae kidogo ndiyo tutaendelea na mambo yetu ila Kwa sasa naomba uniache kabisa.

Sio kwamba sina mzuka nae, ila tu sina mzuka na mwanamke yeyote mwenye mimba kubwa hata awe nani...

Wazee hii ni kwangu tu ama!!! Maana sielewi elewi hapa.

Mechi zangu napigia hukoooooo...

Naomba kuwasilisha..
 
Kwamba inawezwkana simpendi? Hapana, mbona hapo kabla ya mimba nilikuwa namla vyema Sana!!!!
Basi kachepuke mkuu. Ila mm nikufumbue macho. Hapo hata kama humpendi inabidi ujilazimishe uwe una mlasiku mojamoja. Kwa sababu, mimba ni ugonjwa, kutomtaman kwako ni kwa sababu ya hio miba ambayo ulimpa wewe. Huyo ni mkeo wa shoda na raha na hio ni shida inabidi uibebe pia hata kama kwa kujilazimisha.

Kuna muda wanawake wakiwa na mimba huwa hawawataki wanaume wao hata kusikia harufu yao, wewe unabahati mimba imekukubali mkeo anakutaka. Usimfanyie ukatili, libebe kama tatizo lako mgonge japo siku moja moja atajiskia furaha. Fikiria siku akijifungua ndio ukaanza kuomba mzigo nae akakukumbusha uliyoyafanya wakati wa ujauzi, not fair.
 
Kwamba inawezwkana simpendi? Hapana, mbona hapo kabla ya mimba nilikuwa namla vyema Sana!!!!
Watamu sana haooo,,tena mwezi wa 7 na 8,,yaani joto huwa juu na utamu hauelezeki,, wewe jitahidi na uonje utakuja kunipa mrejesho
 
Nilisitisha mechi,wife akiwa na mimba ya miezi 4. Lengo nisije mletea maradhi kutoka kwa michepuko na mtoto akadhurika huko tumboni,
 
Back
Top Bottom