Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 719
- 2,408
Wasalaaaaam....
Wazee mimi naishi na manzi sasa ana mimba yapata miezi saba sasa, ila kinachonitatiza sina mzuka kabisa wa kumgonga mwanamke mwenye mimba. Yaani mimba kubwa tumbo hiiloooooo hapana aisee, sijui ni kwanini!!!
Yeye kuna time namuona kabisa kuwa anataka ukuni, anaanza kunishika shika ila sasa mimi mzuka na mwanamke mwenye mimba kubwa ndiyo sinaaaa, yaani sina kabisaaaa.
Mechi zangu za ugenini napigia hukoo kwa wasio na mimba.
Nilikwambia bibie mpaka ujifungue ukae kidogo ndiyo tutaendelea na mambo yetu ila Kwa sasa naomba uniache kabisa.
Sio kwamba sina mzuka nae, ila tu sina mzuka na mwanamke yeyote mwenye mimba kubwa hata awe nani...
Wazee hii ni kwangu tu ama!!! Maana sielewi elewi hapa.
Mechi zangu napigia hukoooooo...
Naomba kuwasilisha..