Usijipe kazi zisizo kuhusu.Nyoka wote wangekuwa ni wa sumu ya kuua basi binadamu tungeisha isha...
10% - 15% ya nyoka wote duniani ndio wenye sumu, kwa maana hiyo 85% - 90% ya nyoka tunaowaona hawana sumu ya kuua mtu. Wanang'ata kujilinda tu na ukipata tiba maisha yanaendelea
Tulio wengi hatujui yupi mwenye sumu na yupi hana, kwa hiyo ukimwona nyoka we ua tu, usije kufa kizembe
Black mamba angeuliwa kizembe hivyo Mkuu?Huyo ni black mamba
Hv neno chululu linatumika kwa jinsia zote au π€π€Aina ya chululuuuuu
π€£π€£π€£Hawa ni wale tunaowakuta wanakunywa tembo kwenye minazi wakilewa wanakuja kula mayai ya kuku kwenye Banda.
Huyu sio yule wa bustani ya Eden?Eti huyu nyoka anaitwaje?
View attachment 2646166
Hahahaha. Mkuu kuna nyoka hata wadogo ni mtihani kama koboko na cobra. Ninaogopa Sana nyoka na Mbwakifupi hamna nyoka hapo alafu umekaua ka innocent kabisa aise! kamekukosea nini?
usirudie tena wanawake ndo wanaruhusiwa kuua nyoka wadogowadogo hivyo sababu wao ni waoga ila kwa sisi wanaume angalau unaweza kumuua nyoka mwenye urefu kwanzia mita 7 na unene wa mkono wa mtu mzima
hivi vinyoka vidogo kamata umrudishe porini akaishi maisha yake.
Jidanganye ufe bro .siyo black mamba hakuna black mamba hapo
Nijidanganye nini wakat masaa 24 Niko nao?Jidanganye ufe bro .
Huyu nyoka atakua ni Muislam .Kama ni sawa walivyosema waliotangulia "black mamba", Kiswahili anaitwa koboko kama sikosei.
Wanasema ni nyoka hatari zaidi duniani kwa sababu ana tabia za kushambulia pasi na kuchokozwa, ana sumu kali sana, haachi meno yake akigonga, kwa hiyo ana uwezo wa kugonga watu au wanyama hata 100 wakiwa karibu nae.
Pia ana mbio kuliko nyoka yoyote.
Tujikinge sana na nyoka hao na wengine.
Wa hatari zaidi kuliko huyo koboko ni binaadam mwenzetu.
Hiko kimnyoo anaita nyoka! Au umetumwa na mganga mshirikina weweEti huyu nyoka anaitwaje?
View attachment 2646166
Kama ni sawa walivyosema waliotangulia "black mamba", Kiswahili anaitwa koboko kama sikosei.
Wanasema ni nyoka hatari zaidi duniani kwa sababu ana tabia za kushambulia pasi na kuchokozwa, ana sumu kali sana, haachi meno yake akigonga, kwa hiyo ana uwezo wa kugonga watu au wanyama hata 100 wakiwa karibu nae.
Pia ana mbio kuliko nyoka yoyote.
Tujikinge sana na nyoka hao na wengine.
Wa hatari zaidi kuliko huyo koboko ni binaadam mwenzetu.
Binadamu wenzetu kweli ni hatari kuliko huyo nyokaKama ni sawa walivyosema waliotangulia "black mamba", Kiswahili anaitwa koboko kama sikosei.
Wanasema ni nyoka hatari zaidi duniani kwa sababu ana tabia za kushambulia pasi na kuchokozwa, ana sumu kali sana, haachi meno yake akigonga, kwa hiyo ana uwezo wa kugonga watu au wanyama hata 100 wakiwa karibu nae.
Pia ana mbio kuliko nyoka yoyote.
Tujikinge sana na nyoka hao na wengine.
Wa hatari zaidi kuliko huyo koboko ni binaadam mwenzetu.
Uko nao wapi mkuu!?Nijidanganye nini wakat masaa 24 Niko nao?
πππAina ya chululuuuuu
We jamaaa[emoji23][emoji23]Sisi huyu hatumuiti huwa anakuja mwenyewe
Mambo mrembo....πKama ni sawa walivyosema waliotangulia "black mamba", Kiswahili anaitwa koboko kama sikosei.
Wanasema ni nyoka hatari zaidi duniani kwa sababu ana tabia za kushambulia pasi na kuchokozwa, ana sumu kali sana, haachi meno yake akigonga, kwa hiyo ana uwezo wa kugonga watu au wanyama hata 100 wakiwa karibu nae.
Pia ana mbio kuliko nyoka yoyote.
Tujikinge sana na nyoka hao na wengine.
Wa hatari zaidi kuliko huyo koboko ni binaadam mwenzetu.
Ndiomaana ni mrefu kama mkojo...πhuho ndio nyoka wa kibisa