PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Usijipe kazi zisizo kuhusu.Nyoka wote wangekuwa ni wa sumu ya kuua basi binadamu tungeisha isha...
10% - 15% ya nyoka wote duniani ndio wenye sumu, kwa maana hiyo 85% - 90% ya nyoka tunaowaona hawana sumu ya kuua mtu. Wanang'ata kujilinda tu na ukipata tiba maisha yanaendelea
Tulio wengi hatujui yupi mwenye sumu na yupi hana, kwa hiyo ukimwona nyoka we ua tu, usije kufa kizembe
Siyo kazi yako kujua nyoka gani ana sumu na yupi hana