Wazee huyu ni nyoka aina gani?

Wazee huyu ni nyoka aina gani?

Nyoka wote wangekuwa ni wa sumu ya kuua basi binadamu tungeisha isha...
10% - 15% ya nyoka wote duniani ndio wenye sumu, kwa maana hiyo 85% - 90% ya nyoka tunaowaona hawana sumu ya kuua mtu. Wanang'ata kujilinda tu na ukipata tiba maisha yanaendelea

Tulio wengi hatujui yupi mwenye sumu na yupi hana, kwa hiyo ukimwona nyoka we ua tu, usije kufa kizembe
Usijipe kazi zisizo kuhusu.
Siyo kazi yako kujua nyoka gani ana sumu na yupi hana
 
kifupi hamna nyoka hapo alafu umekaua ka innocent kabisa aise! kamekukosea nini?
usirudie tena wanawake ndo wanaruhusiwa kuua nyoka wadogowadogo hivyo sababu wao ni waoga ila kwa sisi wanaume angalau unaweza kumuua nyoka mwenye urefu kwanzia mita 7 na unene wa mkono wa mtu mzima
hivi vinyoka vidogo kamata umrudishe porini akaishi maisha yake.
Hahahaha. Mkuu kuna nyoka hata wadogo ni mtihani kama koboko na cobra. Ninaogopa Sana nyoka na Mbwa
 
Kama ni sawa walivyosema waliotangulia "black mamba", Kiswahili anaitwa koboko kama sikosei.

Wanasema ni nyoka hatari zaidi duniani kwa sababu ana tabia za kushambulia pasi na kuchokozwa, ana sumu kali sana, haachi meno yake akigonga, kwa hiyo ana uwezo wa kugonga watu au wanyama hata 100 wakiwa karibu nae.

Pia ana mbio kuliko nyoka yoyote.

Tujikinge sana na nyoka hao na wengine.

Wa hatari zaidi kuliko huyo koboko ni binaadam mwenzetu.
Huyu nyoka atakua ni Muislam .
 
FaizaFoxy nawezaje kujikinga na Black Mamba?

Binadamu wenzetu kweli ni hatari kuliko huyo nyoka
 
Kama ni sawa walivyosema waliotangulia "black mamba", Kiswahili anaitwa koboko kama sikosei.

Wanasema ni nyoka hatari zaidi duniani kwa sababu ana tabia za kushambulia pasi na kuchokozwa, ana sumu kali sana, haachi meno yake akigonga, kwa hiyo ana uwezo wa kugonga watu au wanyama hata 100 wakiwa karibu nae.

Pia ana mbio kuliko nyoka yoyote.

Tujikinge sana na nyoka hao na wengine.

Wa hatari zaidi kuliko huyo koboko ni binaadam mwenzetu.
Mambo mrembo....😊
 
Back
Top Bottom