Wazee huyu ni nyoka aina gani?

Usingemuua ungemtimua aende zake, ingawa sijui jina lake lakini hawa hawana shida kabisa.
 
siyo black mamba hakuna black mamba hapo
Sibishani na wewe . Amini unalo amini mkuu ila mimi nimetoa vigezo vyangu kwanini ni black mamba .hata wewe unaweza kuweka vigezo vilivyokufanya ukasema huyo sio black mamba.
Huyo jamaaa kwanza anabahati mnooo kumua huyo nyoka . Angeweza kusababisha maafa kwake na kwa watu waliomzunguka
 
Kanda ya ziwa "hasa Tabora na Shinyanga"?Hiyo mikoa ni kanda ya ziwa?🙄
 
Siwezi kusema ni black mamba mpaka nione mdomo wake. Kwa urefu wake black mamba angekua mnene zaidi. Swila nae anaumbo hili hili. Black mamba kumuua shughuli ipo
 
Nyoka mwingine hatari zaid ni Abdallah asiye na macho. Ana mdomo bila meno
 
Daah umeongea maneno aliwahi niambia Mzee wangu ila yeye alisema usiue Nyoka wala mijuzi tunaishi kwa kutegemeana labda huyo nyoka awe anaonesha kukudhuru nimekutana na nyoka wengi sana sana sijaua hata mmoja sema huku kwetu kitengo cha Maliasili ukiwapigia kuhusu nyoka hawaji kabisaa...
 
Watu wanasema ni black mamba ila mimi hadi ningeona akiwa kaachama mdomo wake ndiyo ningesema.

Au ungeniambia wakati amezingirwa alionyesha tabia gani ndiyo ningesema.

Kwa huo urefu na tabia za black mamba ilitakiwa awe kajeruhi mtu unless kulikua na pro.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Watu wa dar bhana hawajui hata nyoka!

Hivi huwa hamfuatilii hata kwenye tv kujua aina ya nyoka?

Eti ni black mamba,.

Huyo ni vile vijoka vinapenda kuishi kwenye majani madogo madogo vikila wadudu wadogo wadogo, hako sia ajabu ukaamka asubuhi ukakakuta kako kwenye maua na akipigwa na baridi kanakuwa kajinga jinga flani hivi.

Kiufupi hamna black mamba hapo.
 
Usipomuua leo kuna mtu atadhurika kesho
 
Ungenyamaza tu kaka...
 
Kibibi Naona Leo umeongea pwenti

Hata wewe ni nyoka hatari sana
 
Katakuwa ka-CCM hako.Uongo mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…