Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So mzazi wake atakuwa hapo jirani,mjihadhariamekaa kama koboko mdogo hivi a.k.a black mamba...
Sibishani na wewe . Amini unalo amini mkuu ila mimi nimetoa vigezo vyangu kwanini ni black mamba .hata wewe unaweza kuweka vigezo vilivyokufanya ukasema huyo sio black mamba.siyo black mamba hakuna black mamba hapo
Kanda ya ziwa "hasa Tabora na Shinyanga"?Hiyo mikoa ni kanda ya ziwa?🙄Kwa kutumia rangi tu unahitimisha ni black mamba? Au mnatumia kigezo gani? Urefu?
BM ana wastani wa 8ft huku akifikisha hadi 14ft.
Simjui jina ila huyo nyoka kwenye picha ni wengi mno kanda ya ziwa hasa Shinyanga na Tabora kipindi hiki mvua zikikatika.
Hawasimamishi vichwa wala siyo weusi mdomoni na wala hawarushi mate/sumu.
Snake in the monkey's shadowEti huyu nyoka anaitwaje?
View attachment 2646166
Nyoka mwingine hatari zaid ni Abdallah asiye na macho. Ana mdomo bila menoKama ni sawa walivyosema waliotangulia "black mamba", Kiswahili anaitwa koboko kama sikosei.
Wanasema ni nyoka hatari zaidi duniani kwa sababu ana tabia za kushambulia pasi na kuchokozwa, ana sumu kali sana, haachi meno yake akigonga, kwa hiyo ana uwezo wa kugonga watu au wanyama hata 100 wakiwa karibu nae.
Pia ana mbio kuliko nyoka yoyote.
Tujikinge sana na nyoka hao na wengine.
Wa hatari zaidi kuliko huyo koboko ni binaadam mwenzetu.
Daah umeongea maneno aliwahi niambia Mzee wangu ila yeye alisema usiue Nyoka wala mijuzi tunaishi kwa kutegemeana labda huyo nyoka awe anaonesha kukudhuru nimekutana na nyoka wengi sana sana sijaua hata mmoja sema huku kwetu kitengo cha Maliasili ukiwapigia kuhusu nyoka hawaji kabisaa...Nyoka wote wangekuwa ni wa sumu ya kuua basi binadamu tungeisha isha...
10% - 15% ya nyoka wote duniani ndio wenye sumu, kwa maana hiyo 85% - 90% ya nyoka tunaowaona hawana sumu ya kuua mtu. Wanang'ata kujilinda tu na ukipata tiba maisha yanaendelea
Tulio wengi hatujui yupi mwenye sumu na yupi hana, kwa hiyo ukimwona nyoka we ua tu, usije kufa kizembe
Fact fact fact...Wa hatari zaidi kuliko huyo koboko ni binaadam mwenzetu.
Usipomuua leo kuna mtu atadhurika keshokifupi hamna nyoka hapo alafu umekaua ka innocent kabisa aise! kamekukosea nini?
usirudie tena wanawake ndo wanaruhusiwa kuua nyoka wadogowadogo hivyo sababu wao ni waoga ila kwa sisi wanaume angalau unaweza kumuua nyoka mwenye urefu kwanzia mita 7 na unene wa mkono wa mtu mzima
hivi vinyoka vidogo kamata umrudishe porini akaishi maisha yake.
Ungenyamaza tu kaka...[emoji23][emoji23][emoji23]Watu wa dar bhana hawajui hata nyoka!
Hivi huwa hamfuatilii hata kwenye tv kujua aina ya nyoka?
Eti ni black mamba,.
Huyo ni vile vijoka vinapenda kuishi kwenye majani madogo madogo vikila wadudu wadogo wadogo, hako sia ajabu ukaamka asubuhi ukakakuta kako kwenye maua na akipigwa na baridi kanakuwa kajinga jinga flani hivi.
Kiufupi hamna black mamba hapo.
Kibibi Naona Leo umeongea pwentiKama ni sawa walivyosema waliotangulia "black mamba", Kiswahili anaitwa koboko kama sikosei.
Wanasema ni nyoka hatari zaidi duniani kwa sababu ana tabia za kushambulia pasi na kuchokozwa, ana sumu kali sana, haachi meno yake akigonga, kwa hiyo ana uwezo wa kugonga watu au wanyama hata 100 wakiwa karibu nae.
Pia ana mbio kuliko nyoka yoyote.
Tujikinge sana na nyoka hao na wengine.
Wa hatari zaidi kuliko huyo koboko ni binaadam mwenzetu.
Malizia Jackie Chan!Snake in the monkey's shadow
Katakuwa ka-CCM hako.Uongo mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23]Watu wa dar bhana hawajui hata nyoka!
Hivi huwa hamfuatilii hata kwenye tv kujua aina ya nyoka?
Eti ni black mamba,.
Huyo ni vile vijoka vinapenda kuishi kwenye majani madogo madogo vikila wadudu wadogo wadogo, hako sia ajabu ukaamka asubuhi ukakakuta kako kwenye maua na akipigwa na baridi kanakuwa kajinga jinga flani hivi.
Kiufupi hamna black mamba hapo.
Zezeta la mwendakuzimu hilo, kichwani hamna kitu.Ungenyamaza tu kaka...