Wazee huyu ni nyoka aina gani?

Labda wewe ndo unabishana mi sibishani ila nakueleza ukweli huyo siyo black mamba
 
Peleka ujinga huko, hakuna nyoka anamshambulia mtu bila sababu. Na hakuna nyoka anaemgonga mtu/kitu akaacha meno yake.

Na pia kusema anaweza kugonga watu/wanyama 100 kwa wakati mmoja sio kweli bali calculations hizo hufwanywa kwa volume ratio ya venom yake. Kwamba aki inject cc kadhaa zinaweza kuua kiumbe cha aina gani.

Sorry I am not sorry.

Meet me, I am Simon Keys.
 
Watu wengi hawawafahamu hawa viumbe. Ndio maana kuna soga za ajabu za kutungwa
 
Uue tu? Acha ujinga wewe. Shauri watu wajifunze kuhusu nyoka, wajue ni wapi hatari na jinsi ya kuwa handle ila sio kuua.
 
Mama yake na wadogo zake hawako mbali.Chukua tahadhari.
 
Huyu nyoka alitakiwa apotezwe tubaki tanamsoma kwenye history books.
Ni hatari sana
 
Ungenyamaza tu kaka...
Hujui nyoka mkuu!..

Njoo hapa chanika tu ntakuonesha kama hao wapo kibao tunaishi nao kwenye garden tu.

Black mamba hawezi kuishi kwenye mazingira ya kindezi namna hiyo.

Huyo hata meno ya kukung'ata hana achilia mbali sumu.
 
Zezeta la mwendakuzimu hilo, kichwani hamna kitu.
Tayari kinyeo kimekuwasha baada ya kuniona mimi mfuasi wa mbutuaji wako?


Alafu unaishi na kulelewa kwa shemeji alikooleea dadako utawajulia wapi nyoka wewe?
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hamna kitu hapa
 
Koboko wako wengi chunya na songwe huku

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa, wakati mwingine unaamka asubuhi unamkuta kajiviringisha tu mahala katulia .. kama Tabora wapo wengi sana hata mijini.. unaweza hisi koboko kumbe sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ