Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Labda wewe ndo unabishana mi sibishani ila nakueleza ukweli huyo siyo black mambaSibishani na wewe . Amini unalo amini mkuu ila mimi nimetoa vigezo vyangu kwanini ni black mamba .hata wewe unaweza kuweka vigezo vilivyokufanya ukasema huyo sio black mamba.
Huyo jamaaa kwanza anabahati mnooo kumua huyo nyoka . Angeweza kusababisha maafa kwake na kwa watu waliomzunguka