Wazee huyu ni nyoka aina gani?

Wazee huyu ni nyoka aina gani?

kifupi hamna nyoka hapo alafu umekaua ka innocent kabisa aise! kamekukosea nini?
usirudie tena wanawake ndo wanaruhusiwa kuua nyoka wadogowadogo hivyo sababu wao ni waoga ila kwa sisi wanaume angalau unaweza kumuua nyoka mwenye urefu kwanzia mita 7 na unene wa mkono wa mtu mzima
hivi vinyoka vidogo kamata umrudishe porini akaishi maisha yake.
 
Sijaua Wala nilimkuta kafa
 
Nyoka wote wangekuwa ni wa sumu ya kuua basi binadamu tungeisha isha...
10% - 15% ya nyoka wote duniani ndio wenye sumu, kwa maana hiyo 85% - 90% ya nyoka tunaowaona hawana sumu ya kuua mtu. Wanang'ata kujilinda tu na ukipata tiba maisha yanaendelea

Tulio wengi hatujui yupi mwenye sumu na yupi hana, kwa hiyo ukimwona nyoka we ua tu, usije kufa kizembe
 
Kwa kutumia rangi tu unahitimisha ni black mamba? Au mnatumia kigezo gani? Urefu?

BM ana wastani wa 8ft huku akifikisha hadi 14ft.

Simjui jina ila huyo nyoka kwenye picha ni wengi mno kanda ya ziwa hasa Shinyanga na Tabora kipindi hiki mvua zikikatika.

Hawasimamishi vichwa wala siyo weusi mdomoni na wala hawarushi mate/sumu.
 
Nyoka wote wangekuwa ni wa sumu ya kuua basi binadamu tungeisha isha...
10% - 15% ya nyoka wote duniani ndio wenye sumu, kwa maana hiyo 85% - 90% ya nyoka tunaowaona hawana sumu ya kuua mtu. Wanang'ata kujilinda tu na ukipata tiba maisha yanaendelea

Tulio wengi hatujui yupi mwenye sumu na yupi hana, kwa hiyo ukimwona nyoka we ua tu, usije kufa kizembe
Sure, snakes ni kuua tu!
 
Back
Top Bottom