dongo jeusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 248
- 210
Hiyo ni nyara ya serikali. Hupaswi kumuua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siyo black mamba hakuna black mamba hapoYes it's black mamba.
Sijaua Wala nilimkuta kafakifupi hamna nyoka hapo alafu umekaua ka innocent kabisa aise! kamekukosea nini?
usirudie tena wanawake ndo wanaruhusiwa kuua nyoka wadogowadogo hivyo sababu wao ni waoga ila kwa sisi wanaume angalau unaweza kumuua nyoka mwenye urefu kwanzia mita 7 na unene wa mkono wa mtu mzima
hivi vinyoka vidogo kamata umrudishe porini akaishi maisha yake.
Hakuna black mamba hapo.13/12/2021
Kwa urefu wa huyu nyoka angeweza kuwa Black Mamba Ila kwa jinsi macho yake yanavyoonekana na wembamba wa mwili, sio...
huyu Hana sumu Hawa ni wale tunaowakuta wanakunywa tembo kwenye minazi wakilewa wanakuja kula mayai ya kuku kwenye Banda.
Black mamba wa buza labda tena shoga.siyo black mamba hakuna black mamba hapo
Wengi wanasema ni black mamba yaani koboko. Lakini naona anakosa feature moja muhimu nayo ni mdomo mweusi.....Eti huyu nyoka anaitwaje?
View attachment 2646166
TeknoUmetumia camera gani kumpiga picha
Uzee tena.Siku hizi kiswahili kinakupiga chenga.
Sure, snakes ni kuua tu!Nyoka wote wangekuwa ni wa sumu ya kuua basi binadamu tungeisha isha...
10% - 15% ya nyoka wote duniani ndio wenye sumu, kwa maana hiyo 85% - 90% ya nyoka tunaowaona hawana sumu ya kuua mtu. Wanang'ata kujilinda tu na ukipata tiba maisha yanaendelea
Tulio wengi hatujui yupi mwenye sumu na yupi hana, kwa hiyo ukimwona nyoka we ua tu, usije kufa kizembe
Umekula bangi za wapi?CHATU HILO BABU KAA MBALI LITAKUMEZA, HAPO UKUTE LISHAMEZA NDAMA
Koboko huyo, bora mumemzima.Eti huyu nyoka anaitwaje?
View attachment 2646166