Tetesi: Wazee kumshauri Tundu Antipas Lissu kupumzika au kuacha siasa kabisa

Mustakabali wa siasa, Nia ya Kugombea urais haiko mikononi mwa hao WAZEE WAPUMBAVU/WAJINGA.🤔🤔

Imo mikononi mwa an individual expected candidate/aspirant and particular polital party CHADEMA.

I have seen this post is full of imagination.
Have you ever asked those senior citizens WAZEE to tell SAA💯 to sease selling Tanzanian Mainland natural resources??

Have you ever asked the WAZEE to advise Saa 💯 to stop 2025 not to contest anymore??

All in all you have posted very stupidity stuffs.

Saa 💯 hatoshi, is not deserving to become president.

Anaweza mipasho sana refer story ya CHURA KIZIWI 🐸🐸
umewakosea adabu sana wazee hawa ambao ni hazina ya Taifa. na huenda unateseka na laana ya utovu wa nidhamu huko ulikozaliwa ama kulelewa...
ulimwengu utakufunza na bado....

nadhani ni muhimu zaidi upuuzwe na kila muaadilifu, mwenye busara na hekima humu JF 🐒
 
"kujikarabati ili kua madhubuti huko mbeleni....", wewe umejuaje kwani una uhusiano naye, acha hizo bana.
Yes ni homeboy,
but nadhani amethibitisha mwenyewe kwamba hayuko timamu kimwili ni spana mkononi mwendo wa kujikarabati na vidonge kama vyote 🐒
 
Ipo clip jf insta huko anatolea ufafanuzi mchango uliochangwa....anasema kuna ubaya gani yeye kuchangiwa pesa ya gari na wana CCM 😂😂😂🤣 kwishaa khabareee yakeeee
mazoezi ya safari hayo dah, ni suala la muda tu 🐒
 
ni kwa upendo na mapenzi makubwa, wazee wa mkoa wa singida wanapanga kukutana, kujadili na kuamua mustakabali wa siasa za kijana wao mpendwa Tundu Antipas Lisu kutokana na hali yake ilivyo, hasa baada ya kuthibisha mwenyewe juu ya utimamu wa mwili wake, ukilinganisha na majukumu na kazi nzito, muhimu na ya maana sana anayoipambania, mathalani kua mwenyekiti wa Chadema...

kulingana na wazee hao, Lisu anapewa machaguo matatu tu,

ni ama apumzike na heka heka za siasa kuimarisha uimara wa utimamu wa mwili wake, ambapo umeumizwa sana...

au kuacha mapambano ya siasa kabisa ili kuzingatia na kupata fursa na muda mwingi zaidi wa kutosha kujikarabati ili kua madhubuti huko mbeleni....

au baadhi ya wazee wnapendelea kama anaendelea na siasa na hali aliyonayo basi ajiunge CCM kwani huko ataepukana na misukosuko mingi na kupata ahueni kubwa hata ya kudeal na masuala kadha wa kadha binafsi ya kimwili na kifamilia kwa amani na uhakika zaidi..

unadhani wazee hawa watafanikiwa kumshawishi kijana wao kukubali ushauri wao?

una maoni gani kama mwananchi, ingawa body language na tones ya Lisu pia inaashria kuna safari ya kuelekea CCM wakati wowote 🐒
Yani nabaki nacheka hv wazee wanaona upinzani ndo wanasababisha mafuta kupanda bei au maisha kua magumu pia wanamaambia lissu aache siasa mkuchika je? Kabudi je? Shida inaaanza image iliyotengenezwa na ccm kwa vizaz vya wajinga kwamba upinza ni uhalifu
 
Kuliko kuzaliwa Hadi unazeeka kupinga tuu serikali na hujawahi ambulia kitu Bora ahamie ccm azeeke vizuri hata kuwa Balozi huko Kwa Watoto wake Ughaibuni.
 
ushauri wenye msisitizo wa maana kabisa kwa muungwana, tena wa mustakabali wa maisha ya kifamilia na uhai wa siasa zake 🐒
 
Onc
umewakosea adabu sana wazee hawa ambao ni hazina ya Taifa. na huenda unateseka na laana ya utovu wa nidhamu huko ulikozaliwa ama kulelewa...
ulimwengu utakufunza na bado....

nadhani ni muhimu zaidi upuuzwe na kila muaadilifu, mwenye busara na hekima humu JF 🐒
Once again very stupidity stuffs ou always post, including this one, shame on you CHAWA 🤔🤔
 
Yani nabaki nacheka hv wazee wanaona upinzani ndo wanasababisha mafuta kupanda bei au maisha kua magumu pia wanamaambia lissu aache siasa mkuchika je? Kabudi je? Shida inaaanza image iliyotengenezwa na ccm kwa vizaz vya wajinga kwamba upinza ni uhalifu
sasa ndugu yangu majiyapwani Jamali Khashoggi,

wale wazee wanaomshauri Lisu, wamezingatia utimamu wa mwili wa kijana wao, ukilinganisha na songombingo za siasa za Tanzania, wanahisi ni hatari kwa uhai wake na sio ugumu wa maisha, bei ya unga au maharage kama unavyodhani wewe 🐒
 
Onc
Once again very stupidity stuffs ou always post, including this one, shame on you CHAWA 🤔🤔
you must relax and always be deciplined please gentleman 🐒

mayhem and insults are nonsense and useless in a formal and very relevant political conversations and discussions like this....

be matured enough with zero panic plz 🐒
 
ni kwa upendo na mapenzi makubwa, wazee wa mkoa wa singida wanapanga kukutana, kujadili na kuamua mustakabali wa siasa za kijana wao mpendwa Tundu Antipas Lisu kutokana na hali yake ilivyo, hasa baada ya kuthibisha mwenyewe juu ya utimamu wa mwili wake, ukilinganisha na majukumu na kazi nzito, muhimu na ya maana sana anayoipambania, mathalani kua mwenyekiti wa Chadema...

kulingana na wazee hao, Lisu anapewa machaguo matatu tu,

ni ama apumzike na heka heka za siasa kuimarisha uimara wa utimamu wa mwili wake, ambapo umeumizwa sana...

au kuacha mapambano ya siasa kabisa ili kuzingatia na kupata fursa na muda mwingi zaidi wa kutosha kujikarabati ili kua madhubuti huko mbeleni....

au baadhi ya wazee wnapendelea kama anaendelea na siasa na hali aliyonayo basi ajiunge CCM kwani huko ataepukana na misukosuko mingi na kupata ahueni kubwa hata ya kudeal na masuala kadha wa kadha binafsi ya kimwili na kifamilia kwa amani na uhakika zaidi..

unadhani wazee hawa watafanikiwa kumshawishi kijana wao kukubali ushauri wao?

una maoni gani kama mwananchi, ingawa body language na tones ya Lisu pia inaashria kuna safari ya kuelekea CCM wakati wowote 🐒
Haha bado ana nguvu, huyo si mzee
 
Haha bado ana nguvu, huyo si mzee
nadhani shida sio nguvu,
ni utimamu wa mwili kulingana na masaibu alokumbana nayo huko nyuma..

ni hatari kwa uhai wake, rejea ushuhuda wake baada ya kutiwa nguvuni majuzi, ni huruma sana wazee wanamuonea 🐒
 
Sasa ukisema aache siasa, na yeye ndio kazi yake, itakuwaje?? Ataishi vipi?? Unaweza kweli kuacha kazi, kabla haujapata kazi nyingine? Maana hata ukisema astaafu - hiyo kazi ina mafao kweli ya kustaafu? Maana hata familia si inaishi kule Europe kwa sababu ya hiyo hiyo kazi??
 
Chademaphobia inaendelea kuwatesa!
wazee wanaona huruma kijana wao anaumia kwa maumivu makali na madawa makali anayotumia huku akikabiliwa na songombingo za hatari za siasa za Chadema 🐒
 
Back
Top Bottom