Tetesi: Wazee kumshauri Tundu Antipas Lissu kupumzika au kuacha siasa kabisa

umewakosea adabu sana wazee hawa ambao ni hazina ya Taifa. na huenda unateseka na laana ya utovu wa nidhamu huko ulikozaliwa ama kulelewa...
ulimwengu utakufunza na bado....

nadhani ni muhimu zaidi upuuzwe na kila muaadilifu, mwenye busara na hekima humu JF πŸ’
 
"kujikarabati ili kua madhubuti huko mbeleni....", wewe umejuaje kwani una uhusiano naye, acha hizo bana.
Yes ni homeboy,
but nadhani amethibitisha mwenyewe kwamba hayuko timamu kimwili ni spana mkononi mwendo wa kujikarabati na vidonge kama vyote πŸ’
 
Ipo clip jf insta huko anatolea ufafanuzi mchango uliochangwa....anasema kuna ubaya gani yeye kuchangiwa pesa ya gari na wana CCM πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£ kwishaa khabareee yakeeee
mazoezi ya safari hayo dah, ni suala la muda tu πŸ’
 
Yani nabaki nacheka hv wazee wanaona upinzani ndo wanasababisha mafuta kupanda bei au maisha kua magumu pia wanamaambia lissu aache siasa mkuchika je? Kabudi je? Shida inaaanza image iliyotengenezwa na ccm kwa vizaz vya wajinga kwamba upinza ni uhalifu
 
Kuliko kuzaliwa Hadi unazeeka kupinga tuu serikali na hujawahi ambulia kitu Bora ahamie ccm azeeke vizuri hata kuwa Balozi huko Kwa Watoto wake Ughaibuni.
 
Kuliko kuzaliwa Hadi unazeeka kupinga tuu serikali na hujawahi ambulia kitu Bora ahamie ccm azeeke vizuri hata kuwa Balozi huko Kwa Watoto wake Ughaibuni.
ushauri wenye msisitizo wa maana kabisa kwa muungwana, tena wa mustakabali wa maisha ya kifamilia na uhai wa siasa zake πŸ’
 
Onc Once again very stupidity stuffs ou always post, including this one, shame on you CHAWA πŸ€”πŸ€”
 
sasa ndugu yangu majiyapwani Jamali Khashoggi,

wale wazee wanaomshauri Lisu, wamezingatia utimamu wa mwili wa kijana wao, ukilinganisha na songombingo za siasa za Tanzania, wanahisi ni hatari kwa uhai wake na sio ugumu wa maisha, bei ya unga au maharage kama unavyodhani wewe πŸ’
 
Onc
Once again very stupidity stuffs ou always post, including this one, shame on you CHAWA πŸ€”πŸ€”
you must relax and always be deciplined please gentleman πŸ’

mayhem and insults are nonsense and useless in a formal and very relevant political conversations and discussions like this....

be matured enough with zero panic plz πŸ’
 
Haha bado ana nguvu, huyo si mzee
 
Haha bado ana nguvu, huyo si mzee
nadhani shida sio nguvu,
ni utimamu wa mwili kulingana na masaibu alokumbana nayo huko nyuma..

ni hatari kwa uhai wake, rejea ushuhuda wake baada ya kutiwa nguvuni majuzi, ni huruma sana wazee wanamuonea πŸ’
 
Sasa ukisema aache siasa, na yeye ndio kazi yake, itakuwaje?? Ataishi vipi?? Unaweza kweli kuacha kazi, kabla haujapata kazi nyingine? Maana hata ukisema astaafu - hiyo kazi ina mafao kweli ya kustaafu? Maana hata familia si inaishi kule Europe kwa sababu ya hiyo hiyo kazi??
 
Chademaphobia inaendelea kuwatesa!
wazee wanaona huruma kijana wao anaumia kwa maumivu makali na madawa makali anayotumia huku akikabiliwa na songombingo za hatari za siasa za Chadema πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…