Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
He anajua but then narudi pale pale, hajafikia wkt huo. Nikizungumzia nguvu akili hadi kiafyanadhani shida sio nguvu,
ni utimamu wa mwili kulingana na masaibu alokumbana nayo huko nyuma..
ni hatari kwa uhai wake, rejea ushuhuda wake baada ya kutiwa nguvuni majuzi, ni huruma sana wazee wanamuonea π
yule ni mwanasheria kitaalamu, tena wakili, anaweza kufungua law firm akaendelea na maisha vizur tu...Sasa ukisema aache siasa, na yeye ndio kazi yake, itakuwaje?? Ataishi vipi?? Unaweza kweli kuacha kazi, kabla haujapata kazi nyingine? Maana hata ukisema astaafu - hiyo kazi ina mafao kweli ya kustaafu? Maana hata familia si inaishi kule Europe kwa sababu ya hiyo hiyo kazi??
ni sawa lakini,He anajua but then narudi pale pale, hajafikia wkt huo. Nikizungumzia nguvu akili hadi kiafya
Afya inazidi kuimarika si kama jana au juzi, ni mapema sana kuacha siasa. Bado anahitajika
nadhani wenye hofu zaidi ni wazee kwa kijana wao,Hofu kuu imejaa katika Chama Dola Kongwe kuona kamanda ametia nia kupambana na aliye tengewa fomu moja CCM urais 2025
Abdul alitumwa na mabegi yaliyojaa fedha kujaribu kumhonga kamanda, sasa wanataka kutumia wazee hilo likishindwa sijui watakuwa na karata gani ya kuzuia tsunami ya mageuzi 2025
Misemo ni mingi sana, ukisikiliza ya watu hutotimiza ndoto zako, muache aishi maisha yakeni sawa lakini,
kumbuka mkataa pema, pambaya pana mwita,
na asie sikia la mkuu huvunjika guu
na mdharau mwiba mguu huota tende,
wazee hawatadaiwa chochote siku ya mwisho maana wametekeleza wajibu wao vizur sana π
Watakua wametumwa lissu yuko fresh tu. Mivutano ipo ya kisiasa ila sio umwambie apumzike tukiwa watu wa ndioooo mzee tunatengeneza taifa la watu wa hovyosasa ndugu yangu majiyapwani Jamali Khashoggi,
wale wazee wanaomshauri Lisu, wamezingatia utimamu wa mwili wa kijana wao, ukilinganisha na songombingo za siasa za Tanzania, wanahisi ni hatari kwa uhai wake na sio ugumu wa maisha, bei ya unga au maharage kama unavyodhani wewe π
Si wazee wote wan busara or wanajua maisha sana. Maisha yamebadilika sana, unaweza kuchagua uishi vile watu wanataka, au uishi unavyotakamaisha yake yanategemea watu,
na wazee ni miongoni mwa watu muhimu sana kwake nadhani ni muhimu awaskize na kuwazingatia π
ukizingatia maelezo ya kwenye main body kwa ushauri wa wazee, ushauri wote ni kwa manufaa yake,Watakua wametumwa lissu yuko fresh tu. Mivutano ipo ya kisiasa ila sio umwambie apumzike tukiwa watu wa ndioooo mzee tunatengeneza taifa la watu wa hovyo
huo ni uamizi binafsi,Si wazee wote wan busara or wanajua maisha sana. Maisha yamebadilika sana, unaweza kuchagua uishi vile watu wanataka, au uishi unavyotaka
where do you get these jokes!you must relax and always be deciplined please gentleman π
mayhem and insults are nonsense and useless in a formal and very relevant political conversations and discussions like this....
be matured enough with zero panic plz π
Unadhani yeye hajijui kama ni Mwanasheria? Lazima ameshapima, kati ya uanasheria na siasa wapi kunalipa. Unadhani ukifungua tu law firm, wateja wanakuja, na unapata tu mapesa kirahisi hivyo?yule ni mwanasheria kitaalamu, tena wakili, anaweza kufungua law firm akaendelea na maisha vizur tu...
wazee wanamnusuru kulingana na utimamu wa mwili wake ambapo kwa kazi za siasa huenda ni hatari kwa uhai wake π
kuna wimbo wa taarabu ona maneno yanasema "sina presha kwenye taaluma yangu, nakula maisha silali njaa wenzangu" mwisho wa kunukuu....Unadhani yeye hajijui kama ni Mwanasheria? Lazima ameshapima, kati ya uanasheria na siasa wapi kunalipa. Unadhani ukifungua tu law firm, wateja wanakuja, na unapata tu mapesa kirahisi hivyo?
Type ushahidini kwa upendo na mapenzi makubwa, wazee wa mkoa wa singida wanapanga kukutana, kujadili na kuamua mustakabali wa siasa za kijana wao mpendwa Tundu Antipas Lisu kutokana na hali yake ilivyo, hasa baada ya kuthibisha mwenyewe juu ya utimamu wa mwili wake, ukilinganisha na majukumu na kazi nzito, muhimu na ya maana sana anayoipambania, mathalani kua mwenyekiti wa Chadema...
kulingana na wazee hao, Lisu anapewa machaguo matatu tu,
ni ama apumzike na heka heka za siasa kuimarisha uimara wa utimamu wa mwili wake, ambapo umeumizwa sana...
au kuacha mapambano ya siasa kabisa ili kuzingatia na kupata fursa na muda mwingi zaidi wa kutosha kujikarabati ili kua madhubuti huko mbeleni....
au baadhi ya wazee wnapendelea kama anaendelea na siasa na hali aliyonayo basi ajiunge CCM kwani huko ataepukana na misukosuko mingi na kupata ahueni kubwa hata ya kudeal na masuala kadha wa kadha binafsi ya kimwili na kifamilia kwa amani na uhakika zaidi..
unadhani wazee hawa watafanikiwa kumshawishi kijana wao kukubali ushauri wao?
una maoni gani kama mwananchi, ingawa body language na tones ya Lisu pia inaashria kuna safari ya kuelekea CCM wakati wowote π
Tupe ushahidi wameongea lini, wapi na ni wazee gani au wa ccm? Tupe picha pia usitulishe matango pori.ni kwa upendo na mapenzi makubwa, wazee wa mkoa wa singida wanapanga kukutana, kujadili na kuamua mustakabali wa siasa za kijana wao mpendwa Tundu Antipas Lisu kutokana na hali yake ilivyo, hasa baada ya kuthibisha mwenyewe juu ya utimamu wa mwili wake, ukilinganisha na majukumu na kazi nzito, muhimu na ya maana sana anayoipambania, mathalani kua mwenyekiti wa Chadema...
kulingana na wazee hao, Lisu anapewa machaguo matatu tu,
ni ama apumzike na heka heka za siasa kuimarisha uimara wa utimamu wa mwili wake, ambapo umeumizwa sana...
au kuacha mapambano ya siasa kabisa ili kuzingatia na kupata fursa na muda mwingi zaidi wa kutosha kujikarabati ili kua madhubuti huko mbeleni....
au baadhi ya wazee wnapendelea kama anaendelea na siasa na hali aliyonayo basi ajiunge CCM kwani huko ataepukana na misukosuko mingi na kupata ahueni kubwa hata ya kudeal na masuala kadha wa kadha binafsi ya kimwili na kifamilia kwa amani na uhakika zaidi..
unadhani wazee hawa watafanikiwa kumshawishi kijana wao kukubali ushauri wao?
una maoni gani kama mwananchi, ingawa body language na tones ya Lisu pia inaashria kuna safari ya kuelekea CCM wakati wowote π
Unapoteza muda wako kumjibu wamesema lini hao wazee?Unadhani yeye hajijui kama ni Mwanasheria? Lazima ameshapima, kati ya uanasheria na siasa wapi kunalipa. Unadhani ukifungua tu law firm, wateja wanakuja, na unapata tu mapesa kirahisi hivyo?
ni kwa upendo na mapenzi makubwa, wazee wa mkoa wa singida wanapanga kukutana, kujadili na kuamua mustakabali wa siasa za kijana wao mpendwa Tundu Antipas Lisu kutokana na hali yake ilivyo, hasa baada ya kuthibisha mwenyewe juu ya utimamu wa mwili wake, ukilinganisha na majukumu na kazi nzito, muhimu na ya maana sana anayoipambania, mathalani kua mwenyekiti wa Chadema...