Aisee.Sidhani kama ni rahisi hivyo kama unavyojaribu kuelezea.Hata ukiwa ni kugawa block moja bado huhitajika taratibu zile zile rasmi za mauziano kwa kiwanja kinachotambulika ardhi(yaani kimepimwa).Kama alifanya kienyeji kwa kuaminiana tu hapo inategemea tu busara ya Mwenye hati. Na kumbuka hapa tumesikia upande mmoja tu ni ngumu kujua picha kamili.Labda awali walikuwa marafiki walioshibana wakapeana tu na huenda sasa jamaa kakengeuka kwa kuona loophole.Tulishawahi kujaribu hii kule ardhi haikuwa rahisi kama tulivyodhani tukaachana nayo.
Hawezi kutapelia kirahisi hivyo,hata huyo mwenye nyumba kwa nini ariruhusu ujenzi ufanyike bila kibali kwenye ardhi yake?Huyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005
kiwanja kilikua kimepimwa na mwaka 2018 akajenga nyumba kubwa ya vyumba vitano Sasa wiki iliyopita yule jamaa aliemuuzia kuyumba kiuchumi akamgeuka kaleta askari kwamba jamaa kajenga kwenye ardhi yake na akaonyesha hati ya hicho kiwanja jamaa alichanganyikiwa sababu shahidi wake kwenye maudhiano Sasa ni marehemu hapa vipi wazee jamaa ndio kashatapeliwa au ataweza kupata haki yake na je aanzie wapi maana naona kama amechanganyikiwa
Huyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005

Nadhan inategemeana na Sehemu.Ramani ya mipango miji haisemi hapa kwa Ally Pazi pale pa Bii Kidawa. Ramani la mipango miji linasema hapa kuna hifadhi ya makaburi pale pana viwanja vya kuishi P5577 mpaka P5588. Kwishney
Mbili
Mtendani, Mjumbe, Balozi, Mwenyekiti wa Mtaa CAN NEVER HAVE ramani ya Mipango Miji. Halmashauri kwenyewe ukienda na survey plan hawaielewi wanakwambi tuletee ramani ya mipango miji. Yani WEWE UENDE KWA MSAJILI uwaletee wao Halmashauri.
Ramani ya Mipango miji ni updatable and digital, iko kwenye mfumo. Mwenyekiti wa Mtaa computer hana, bando hana, access credentials hana. Wengine ni wa CUF na CHADEMA. Ramani ya mipango miji nani anawapa ?????
Yani ununue kiwanja based on ramani ya mipango miji aliyonayo Mjumbe "kichwani mwao wanajua hapa kwa nani na pale kwa nani"Ila hao Serikali ya mtaa hata kama hawana Hizo Data kwenye Digital form, wanazo vichwan kwao wanajua hapa kwa nani na pale kwa nani.
Walikuja kupima mwaka Gani mkuu huko gobaNadhan inategemeana na Sehemu.
Mm sina hati ila kwenye Raman jina Langu liko na lnaonekana kabisa sq meter ngap unamiliki...
Na tumeonyeshwa Kwenye Kata.
Kuna wale surveyor wakutoa hati kwa ujumla walipewa kazi ila hawakumaliza.
Nakaa Goba.
Ila hao Serikali ya mtaa hata kama hawana Hizo Data kwenye Digital form, wanazo vichwan kwao wanajua hapa kwa nani na pale kwa nani.
Aanzie huko ajue wao wanasemaje.
Hutapata majibu kwasababu si mkweli. Kwani ukisema ni wewe kuna shida gani? Hapo inakuwa rahisi hata ukiulizwa swali na kujibu kwa wakati mwa msaada zaidi. Sasa huyo rafiki yako wa uwongo alikuomba umtafutie majibu? Kwani ni kwenye maelezo yako hujaonyesha jambo kama hilo.Huyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005
kiwanja kilikua kimepimwa na mwaka 2018 akajenga nyumba kubwa ya vyumba vitano Sasa wiki iliyopita yule jamaa aliemuuzia kuyumba kiuchumi akamgeuka kaleta askari kwamba jamaa kajenga kwenye ardhi yake na akaonyesha hati ya hicho kiwanja jamaa alichanganyikiwa sababu shahidi wake kwenye maudhiano Sasa ni marehemu hapa vipi wazee jamaa ndio kashatapeliwa au ataweza kupata haki yake na je aanzie wapi maana naona kama amechanganyikiwa
Pengine unakaa Remote area...Yani ununue kiwanja based on ramani ya mipango miji aliyonayo Mjumbe "kichwani mwao wanajua hapa kwa nani na pale kwa nani"
Ubaya wa mitandao humwoni unaejadiliana nae yukoje, unaweza ku discuss jambo na teja limegoma kuendelea na dozi za rehab
Mkuu hivi ukipima kiwanja halafu ukahamisha beacon si ardhi wanaona na kama wakiona ni hatua gani wanakuchukulia nataka nipate mwanga wa kumsaidia jamaaPengine unakaa Remote area...
Mwaka 2021 Wakati tunanunua Shamba bagamoyo Kiwangwa Ekari 20,
Tulikaa kikao na Serikali ya mtaa na baadhi ya wanakijiji ili wajue tunanunua na tumepanga kulifanyia nini..
Unahisi ni kwasababu gani?..
By the way I'm NOT easy offended ...try something hard kunitoa kwenye reli.
Anaekufa ni mtu ila ofisi inabaki kuwa hai.Anayo ila mwenyekiti huyo wa mwaka 2005 Naye ni marehemu sasa
Kwanza yale ni mawe tu hakuna sensor wala chochote (gps) ndan yake, ila juu kuna alama na namba. Ambazo zinatofautiana kwa jiwe na jiwe.Mkuu hivi ukipima kiwanja halafu ukahamisha beacon si ardhi wanaona na kama wakiona ni hatua gani wanakuchukulia nataka nipate mwanga wa kumsaidia jamaa
Sahihi kabisa1. Kiwanja kikipimwa ina maana Kuna Details Serikali za Mitaa maana huwa wana Raman za Mipango miji (tukienda Manispaa ni mbali sana).
Je hizo Details zinasoma nani mmiliki?.
2. Wakat wa kuuziwa kiwanja , ukiachana na shahidi wako huwa kuna majiran wa pande zote 4, je walikuwepo na kusign documents zozote?.
3. Nyumba ina miaka mingap?
Hii kesi rahisi tu,
Ngumu kama muuzaji hakuwa mmiliki wa kiwanja..