Mleta mada anatakiwa apate taarifa kamili zote ya huo mgogoro ila naona kama amekurupuka,,, alete taarifa kamili ili huyo mtu apate msaada
Je ana document zote za mauziano?
(Mihuli ya serikali za mtaa/sahii za mashuhuda pande zote mbili/sahii ya muuzaji na muuziwa/dole gumba/sahii ya mwenyekiti)
Iyo kesi ni rahisi kama document zote zipo, mashahidi kufa sio tatizo kwani vielelezo vyao vipo,,,uhai wa mtu kufa au kutokufa hakuna wa kuupinga in any circumstance sababu its in our beyond
Atashinda
Swali linakuja, ameuza 2005, anakuja kushtuka 2025, almnost 20yrs ina maana alikua amekufa akafufuka,,, miaka 20yrs yote maendeleo yamesimama or hakujua kama kuna muendelezo kwenye eneo lake??
Aliemuuzia ni mkabila wa wapi?
(Japo nyerere alikataa kuulizana ukabila)