The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 855
- 1,454
Mpaka nyumba inajengwa huyo muuzaji alikuwa wapi hadi aje aseme leo?
Alifariki kwa muda.Mpaka nyumba inajengwa huyo muuzaji alikuwa wapi hadi aje aseme leo?
Hapo sasa umeeleweka.Kiwanja no kikubwa kilipimwa na muhusika na yeye ni mmoja aliyekatiwa kipande kwenye hicho kiwanja mkuu
Hakukuwa na shahidi ukiachana na mwenyekiti?Anayo ila mwenyekiti huyo wa mwaka 2005 Naye ni marehemu sasa
Amemfanyia uhuniHuyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005
kiwanja kilikua kimepimwa na mwaka 2018 akajenga nyumba kubwa ya vyumba vitano Sasa wiki iliyopita yule jamaa aliemuuzia kuyumba kiuchumi akamgeuka kaleta askari kwamba jamaa kajenga kwenye ardhi yake na akaonyesha hati ya hicho kiwanja jamaa alichanganyikiwa sababu shahidi wake kwenye maudhiano Sasa ni marehemu hapa vipi wazee jamaa ndio kashatapeliwa au ataweza kupata haki yake na je aanzie wapi maana naona kama amechanganyikiwa
Ssasa si ndiyi hiyo Ina hitajika mzeeAnakaratasi za serikali ya mtaa tu
Assume hakikuwa kiwanja kimoja chenye block namba moja bali ni shamba/kiwanja/eneo ambalo halijapimwa.Toa ushauri kwa assumption hiyo.Hapo sasa umeeleweka.
Block namba ya kiwanja ni moja ila mmiliki aliamua kumkatia na kumuuzia huyo jamaa yako kipande cha ardhi ili ajenge ndani ya hiyo block yake.
Hapo cha kumsaidia ni kama ana maandishi ya serikali ya mtaa ya kuthibitisha kama jama yako alikatiwa kihalali hiko kipande cha ardhi.
Pia mashahidi wa pande zote mbili kama wapo hai.
Kwa maana block no inakuwa ni moja tu.
Kama ana maandishi ya kuthibitisha kuwa aliuziwa, hapo asiwe na wasiwasi atapata haki yake kwa maana ni lazima atakuwa na kopi au kumbukumbu ya mauziano ya ndani ya block no moja.
Ila kama hana document yoyote inayoonesha kama alikatiwa na jamaa ili ajenge, basi ajue atakosa haki yake mazima.
Nikiwa kama wakili wake kanjanja asiwe na hofu.Kwaio kiwanja kinaenda maskini💔
Sawa wakili💯Nikiwa kama wakili wake kanjanja asiwe na hofu.
Sio kiwanja, nyumba ya vyumba vitano na parkingKwaio kiwanja kinaenda maskini💔
Yaan angeshangaa makopo anaokota na mwanae uyo 🚮🚮Sio kiwanja, nyumba ya vyumba vitano na parking
Ningekuwa mimi, nakufanya hamna tu.
Kopi ya karatasi hubaki ofisini kwa Mwenyekiti si Nyumbani kwa Mwenyekiti! Au mimi ndiye ambaye sielewi Ofisi na Mwenyekiti?Anayo ila mwenyekiti huyo wa mwaka 2005 Naye ni marehemu sasa
Hata kama lilikuwa shamba ambalo halijapimwa, je, aliyekuuzia alikuuzia kwa makubaliano gani na kwa details gani?Assume hakikuwa kiwanja kimoja chenye block namba moja bali ni shamba/kiwanja/eneo ambalo halijapimwa.Toa ushauri kwa assumption hiyo.
Okay . Ipo hivi :Huyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005
kiwanja kilikua kimepimwa na mwaka 2018 akajenga nyumba kubwa ya vyumba vitano Sasa wiki iliyopita yule jamaa aliemuuzia kuyumba kiuchumi akamgeuka kaleta askari kwamba jamaa kajenga kwenye ardhi yake na akaonyesha hati ya hicho kiwanja jamaa alichanganyikiwa sababu shahidi wake kwenye maudhiano Sasa ni marehemu hapa vipi wazee jamaa ndio kashatapeliwa au ataweza kupata haki yake na je aanzie wapi maana naona kama amechanganyikiwa
Kibaka anacheza na moyo/maisha ya mteja.Sio kiwanja, nyumba ya vyumba vitano na parking
Ningekuwa mimi, nakufanya hamna tu.
Hapo ana wenge anaona nyumba inaondoka huku anashuhudia 😹Watu wanarudia maswali yale yale. Angetoa maelezo timilifu tangu mwanzo angesaidiwa kirahisi. Ila simlaumu. Ukitapeliwa unapaniki!
Yaani, ndio maana wakati mwingine tunaamua liwalo na liwe.Yaan angeshangaa makopo anaokota na mwanae uyo 🚮🚮
😹😹😹😹🙌🏾Hapo ana wenge anaona nyumba inaondoka huku anashuhudia 😹