Wazee: Liundwe Baraza la Taifa la Vijana kuchochea MAENDELEO na UZALENDO

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Miongoni mwa maazimio ya wazee waliokutana leo kujadili kilichotokea Oktoba 29 ni kuundwa kwa Baraza la Taifa la Vijana litakalolenga kuleta maendeleo na kuimarisha uzalendo miongoni mwa vijana. Kauli hiyo imetolewa leo, Januari 22, 2026.
Your browser is not able to display this video.
 
Yaani hawa wanajua maana ya vyama vingi kweli? Je uzalendo ni nini hasa? Huwezi vijana kwenye kapu moja. Baraza ni matumizi mabaya ya resources za nchi.
 
Wameona UVCCM haitoshi. Wameona Wizara ya Vijana haitoshi. Wameona kutumia wasanii haitoshi. Wameona kuzitumia Simba na Yanga haitoshi. Wameona kutumia mifumo ya elimu kupumbaza vijana haitoshi.

Kama wameamua kuukimbia ukweli, wataendelea kuhangaika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…