Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Wadau kama swali linavyojieleza naomba majibu kupitia assessment yenu.
Uzuri w Katuga akipigwa anakubali wazi amepigwa
Kwa Kweli Katuga ana roho Ngumu!Wadau kama swali linavyojieleza naomba majibu kupitia assessment yenu.
Ya Tundu lissu Ina mashiko,wale walisema walishawishika na maneno ya TAL,wakasamehewa baadae October 29kweli nyumba zikachomwa na vituo vya police vikachomwa moto! TAL akiwa mahabusu!Je Kwa nini Wawachie?Vyovyote iwavyo; no matter maswali au majibu yanatolewa kwa mbwembwe za kiwango gani; what's important, whatever is being spoken, ina content ya kutosha kuishawishi mahakama kufikia maamuzi in favor of your side of preference?
Huoni maneno ya TAL yali-motivate kilichotokea MO29?Ya Tundu lissu Ina mashiko,wale walisema walishawishika na maneno ya TAL,wakasamehewa baadae October 29kweli nyumba zikachomwa na vituo vya police vikachomwa moto! TAL akiwa mahabusu!Je Kwa nini Wawachie?
Yeye hahusiku na matendo yakoYa Tundu lissu Ina mashiko,wale walisema walishawishika na maneno ya TAL,wakasamehewa baadae October 29kweli nyumba zikachomwa na vituo vya police vikachomwa moto! TAL akiwa mahabusu!Je Kwa nini Wawachie?
Juniors watakimbia mbio mark my wordsNajiuliza kama huyo Katuga ambae ndie anaonekana kuwa kama kiongozi wa mawakili wa serikali kwenye ile kesi ya Lissu ana maswali yale.
Sijui kesho itakuwaje wale juniors wake sidhani kama watathubutu kumuuliza Lissu maswali, nawahurumia sana.
Kwamba Lissu alisema watachoma wewe na katuga akili zenu zinafanana.Huoni maneno ya TAL yali-motivate kilichotokea MO29?
Nadhani Katuga ni mwanasheria nzuri BUT, inakuwa ngumu kutetea issue za kubumbabumba.Wadau kama swali linavyojieleza naomba majibu kupitia assessment yenu.