Knockouts za kutoshaWadau kama swali linavyojieleza naomba majibu kupitia assessment yenu.
Yani dudus ndo wewe umebadilika hivi siku hizi?Huoni maneno ya TAL yali-motivate kilichotokea MO29?
Rudi ulongoni Ngoma bado inachezwaNimeacha kufatilia hiyo kesi baada ya kuambiwa Lissu ana kesi ya kujibu wakati huko mwanzo watu wanaomba muda upite wakimbie kutoa ushahidi aisee naona kama wanatuchezea akili zetu ushahidi wa maana hakuna lakini kesi inaendelea..
Ngoja nipumzike kwanza aisee maana muda wote hawana kitu cha maana ila hitimisho lake ni balaa..Rudi ulongoni Ngoma bado inachezwa
Lissu ni MwambaNgoja nipumzike kwanza aisee maana muda wote hawana kitu cha maana ila hitimisho lake ni balaa..
Yani dudus ndo wewe umebadilika hivi siku hizi?
Wahuni wanakera sana.Lissu ni Mwamba
Jamaa anamtaja Rais wetu Daktari SSH kama mfanyakazi wake wa ndani! Yaani sisi subordinates tukisikia jina lake, tunakimbizana kwenye makorido! Yeye anamchukulia poa tu 😆Uzuri wa Lisu ukiwa mbele yake hakupi ukubwa. Yaani wewe na wengine ni sawasawa tuu. Hiyo inamfanya anakuwa jasiri na anajiamini.
Unaweza ukamsikia hata akitaja viongozi wakubwa ni kama anataja washikaji zake
Uzuri wa Lisu ukiwa mbele yake hakupi ukubwa. Yaani wewe na wengine ni sawasawa tuu. Hiyo inamfanya anakuwa jasiri na anajiamini.
Unaweza ukamsikia hata akitaja viongozi wakubwa ni kama anataja washikaji zake
Jamaa anamtaja Rais wetu Daktari SSH kama mfanyakazi wake wa ndani! Yaani sisi subordinates tukisikia jina lake, tunakimbizana kwenye makorido! Yeye anamchukulia poa tu 😆
Hata mimi huyu Rais ni bosi wangu lakini honestly sipendezwi na huu utaratibu wa kumuita Dokta wakati inajulikana siyo Dokta.Jamaa anamtaja Rais wetu Daktari SSH kama mfanyakazi wake wa ndani! Yaani sisi subordinates tukisikia jina lake, tunakimbizana kwenye makorido! Yeye anamchukulia poa tu 😆
Hao akina Wambura na Kingai watatokea kweli!? Kwa madodoso ya Lissu huko mahakamani wanakesha kumwombea Katuga ashinde ushawishi kwa majaji kwamba wasiitwe mahakamani.Uzuri wa Lisu ukiwa mbele yake hakupi ukubwa. Yaani wewe na wengine ni sawasawa tuu. Hiyo inamfanya anakuwa jasiri na anajiamini.
Unaweza ukamsikia hata akitaja viongozi wakubwa ni kama anataja washikaji zake
Huyo ni kenge wa mamaKwamba Lissu alisema watachoma wewe na katuga akili zenu zinafanana.
Sasa kama ndivyo kwanini wale waalifu waachiwe! Msaide Katuga kujibuHuoni maneno ya TAL yali-motivate kilichotokea MO29?
Uzuri w Katuga akipigwa anakubali wazi amepigwa
katuga kamfanya jamaa anatia huruma ,machawa wake wanampa moyo ila jamaa kashindwa ..Mpaka aibu yaani.😅😅