Wazee mnaonaje Katuga anavyogongwa na NGULI kwenye vijiswali vyake?

Wazee mnaonaje Katuga anavyogongwa na NGULI kwenye vijiswali vyake?

Huoni maneno ya TAL yali-motivate kilichotokea MO29?
Lissu alikuwa ndani , CCM mmepiga kampeni, mmeshawishi, kina mwaipopo wametisha kuwakata vichwa vijana waandamaji, Kampeni za amani kila kona mmefanya, Bakwata wamehubiri misikitini… Haya yote hayakuweza kufua dafu mbele ya maneno ya Lissu aliyoyatoa miezi mitano nyuma kabla ya uchaguzi?

Ni wazi hamfai, achieni madaraka bila shaka hamsimillizwi na hamna ridhaa ya wanachi.
 
Wadau kama swali linavyojieleza naomba majibu kupitia assessment yenu.
Screenshot_2025-07-01-14-48-58-1.png
 
Katuga ni kidampa wa mafisadi wa mtandao.

Ona hapa,

Nassoro Katuga: Je, ni chombo gani cha mwisho kutoa maamuzi?

Lissu: Mahakama ya rufani ya Tanzania

Nassoro Katuga: tuseme tu, Mahakama

Tundu Lissu; Hapana, wewe umeuliza chombo cha mwisho.

Nassoro Katuga; Haya sawa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
😁😆😁

Mechi za Mawakili zinakuwaga kali sana. Alafu kiasili wanakawaida ya kuwa wabishi na wajuaji.

Lisu: Ukitaka uko twende.
Katuga: Nitarudi baadaye
😄😁 hatari sana

..wakati mwingine Katuga anajisahau na kumuita Lissu kaka.

..hii itaingia ktk historia muendesha mashtaka akawa na heshima na uswahiba na mhalifu tena wa uhaini.
 
Wewe muongo huyo katuga mwenyewe anajistukia kwa kumuambia lissu kaka ake, yaan anaogopa hatariiiii.
Lissu anambwela, machawa mnapata tabu huku , hana uwezo wa kumzidi katuga..Namuonea huruma sana .
 
..wakati mwingine Katuga anajisahau na kumuita Lissu kaka.

..hii itaingia ktk historia muendesha mashtaka akawa na heshima na uswahiba na mhalifu tena wa uhaini.
Sasa tunajua kwanini hawakutaka hii kesi ionyeshwe mubashara. Jaribu kuvuta picha shahidi wambura akisulubiwa kizimbani sukari itakavyopanda!
 
Back
Top Bottom