Wazee mnaonaje Katuga anavyogongwa na NGULI kwenye vijiswali vyake?

Vyovyote iwavyo; no matter maswali au majibu yanatolewa kwa mbwembwe za kiwango gani; what's important, whatever is being spoken, ina content ya kutosha kuishawishi mahakama kufikia maamuzi in favor of your side of preference?
Ya Tundu lissu Ina mashiko,wale walisema walishawishika na maneno ya TAL,wakasamehewa baadae October 29kweli nyumba zikachomwa na vituo vya police vikachomwa moto! TAL akiwa mahabusu!Je Kwa nini Wawachie?
 
Huoni maneno ya TAL yali-motivate kilichotokea MO29?
 
Katuga ni kidampa wa mafisadi wa mtandao.

Ona hapa,

Nassoro Katuga: Je, ni chombo gani cha mwisho kutoa maamuzi?

Lissu: Mahakama ya rufani ya Tanzania

Nassoro Katuga: tuseme tu, Mahakama

Tundu Lissu; Hapana, wewe umeuliza chombo cha mwisho.

Nassoro Katuga; Haya sawa.
 
Ya Tundu lissu Ina mashiko,wale walisema walishawishika na maneno ya TAL,wakasamehewa baadae October 29kweli nyumba zikachomwa na vituo vya police vikachomwa moto! TAL akiwa mahabusu!Je Kwa nini Wawachie?
Yeye hahusiku na matendo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…