binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Lissu alikuwa ndani , CCM mmepiga kampeni, mmeshawishi, kina mwaipopo wametisha kuwakata vichwa vijana waandamaji, Kampeni za amani kila kona mmefanya, Bakwata wamehubiri misikitiniโฆ Haya yote hayakuweza kufua dafu mbele ya maneno ya Lissu aliyoyatoa miezi mitano nyuma kabla ya uchaguzi?Huoni maneno ya TAL yali-motivate kilichotokea MO29?
Wadau kama swali linavyojieleza naomba majibu kupitia assessment yenu.
๐๐๐๐๐๐Naasoro Katuga: Ungependa hiyo video uione?
Lissu: Nione vipi na siijui?
Naasoro Katuga: Tuliileta lakini ukaikataa.
Lissu: Mlileta, Mahakama ikakataa, takataka.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃKatuga ni kidampa wa mafisadi wa mtandao.
Ona hapa,
Nassoro Katuga: Je, ni chombo gani cha mwisho kutoa maamuzi?
Lissu: Mahakama ya rufani ya Tanzania
Nassoro Katuga: tuseme tu, Mahakama
Tundu Lissu; Hapana, wewe umeuliza chombo cha mwisho.
Nassoro Katuga; Haya sawa.
Akili yako imejaa mavi ๐ฎ.katuga kamfanya jamaa anatia huruma ,machawa wake wanampa moyo ila jamaa kashindwa ..Mpaka aibu yaani.๐ ๐
wahusika walikamatwa kwa nini waliachiwa na leo ndio mashahidi wa kesi kwamba maneno yali wa motivateHuoni maneno ya TAL yali-motivate kilichotokea MO29?
๐๐๐
Mechi za Mawakili zinakuwaga kali sana. Alafu kiasili wanakawaida ya kuwa wabishi na wajuaji.
Lisu: Ukitaka uko twende.
Katuga: Nitarudi baadaye
๐๐ hatari sana
Machoko jielimisheni, by the way makamu wenu kafukuzwa uanachama je nyie nguruwe mnanini kama sio mbweha mbele ya wanu.katuga kamfanya jamaa anatia huruma ,machawa wake wanampa moyo ila jamaa kashindwa ..Mpaka aibu yaani.๐ ๐
Hilo bichwa kubwa
Oneni hili fal.a la wanu๐๐๐๐๐ฝkatuga kamfanya jamaa anatia huruma ,machawa wake wanampa moyo ila jamaa kashindwa ..Mpaka aibu yaani.๐ ๐
Unalia ***** baada ya mme o kuweka kitimoto , anababaika tuAkili yako imejaa mavi ๐ฎ.
Lissu anambwela, machawa mnapata tabu huku , hana uwezo wa kumzidi katuga..Namuonea huruma sana .Wewe muongo huyo katuga mwenyewe anajistukia kwa kumuambia lissu kaka ake, yaan anaogopa hatariiiii.
Anatia huruma mumeo .Oneni hili fal.a la wanu๐๐๐๐๐ฝ
Sasa tunajua kwanini hawakutaka hii kesi ionyeshwe mubashara. Jaribu kuvuta picha shahidi wambura akisulubiwa kizimbani sukari itakavyopanda!..wakati mwingine Katuga anajisahau na kumuita Lissu kaka.
..hii itaingia ktk historia muendesha mashtaka akawa na heshima na uswahiba na mhalifu tena wa uhaini.