Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Nimefurahia kuona kila mkutano wa Mhe. Nchimbi wananchi wamevaa nguo mpya za chama ila wale walio vaa nguo nyingine wamevaa zilizochakaa.
Hii inaonyesha wazi kwamba wananchi wanapenda mavazi ya chama kuliko mavazi yao binafsi ya kila siku. Hali hii pia inaonyesha namna ambavyo uchumi wa wananchi umeimarika hadi wazee wanaweza kupata fedha za kushona magauni mapya ya chama.
Natamani mikutano hii iendelee na wananchi wengi zaidi waweze kupata mavazi. Ni muhimu pia sasa mavazi haya yakaruhusiwa hata nyumba za ibada kwani yanaficha umaskini uliopo kwa wananchi.
Zoom picha hapa chini utajionea mavazi mapya ya chama